mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Hbr kwa ujumla nimeona nililete kwa wanawake ili tuongez umakin kucha ni urembo mzur lkn pia unamadhara hasa wkt wa kujisafisha sehem nyet endapo utaingiza kidole na kwa bahat mbaya ukaleta mchubuko ni htr sana hili limemtokea dada mmoja ambae anauguza kidonda ambacho kimesababishwa na kucha tuwe makin sehem za sir huwa ni lain sana