Siku hizi baada ya kuzagaa sana kwa hizi simu mnazoita cjui smatifoni, zimepelekea sasa hivi kila mwny nayo kugeukia kazi ya u kamera mani.
Nimeshashuhudia picha nyingi tu za ajali mbaya tena za...
Hasa wamama na mabinti msikiapo jambo baya kuhusu mpenzio. Mwombe Mungu akuongoze else utaishia pabaya kwenye mapenzi yenu.Shetani ameamua kutumia sana mdomo nowdays kusambaratisha mahusiano ya...
Kianzia leo nitakuwa nawawekea love story ya Faiza Ally mzazi mwenzake na mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) anayoendelea kuitoa ktk mtandao wa Instagram na Facebook.
Kwakuwa ni yeye mwenyewe ameutoa...
Nipo hapa Mwananyamala tupo wapangaji kumi na sita vyumba tisa ila wengine tumebebana wasichana wapo kumi na moja na wanaume wa tano.
Cha kusikitisha kila nikimuona mdada anaenda bafuni unakuta...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna bi dada mmoja, mtu wa dini mnoo, mchaga mwenzangu, kaolewa na mtu wa bara huko, wana kama mwaka hivi. Mambo...
Wana MMU.
Naombeni ushauri. Nimekuwa na date na msichana mmoja, for a serious relationship for marriage. Always tukitoka out tunakwenda na pacha wake.
Sasa jana huyo msichana ameniambia, wao ni...
Habarini za uzima wakuu.
Natumaini mko salama, naombeni ushauri wenu makini hapa. Nina ndugu zangu wawili ambao mmoja ni kaka yangu kabisa tena mtoto wa baba yangu mdogo. Huyu kaka ni mwajiriwa...
Nimekuja kugundua wanawake hawapendi sana mwanaume mjuaji. Kuna watu wakimya sana hata akilewa yeye huwa anatabasamu tu, basi wewe utaongeeaaa, utapiga storiii na kujifanya kila kitu unajua lakini...
Mi ni mdada wa miaka 32, natafuta marafiki wanaojitambua wa jinsia zote wa kubadilishana nao mawazo wawe
na umri kuanzia miaka 33 na kuendelea.
Tuwasliane kwanza kwa Email...
Wana jamvi habari zenu.
Mi mwenzenu mzima namshukuru aliyeniwezesha kuwa hivi. Leo nataka kushea nanyi mambo manane ambayo yatakuwezesheni kung'amua kama mkeo kunakitu anakuhadaa.
Wanaume wengi...
Je ni kweli?
Jamaa aliambiwaga na babu yake usimpe siri yako mwanamke wako hata siku moja hao huwa hawakaagi na siri,Basi siku moja alipanda juu ya mnazi ili aangue nazi akakata tawi la mnazi...
Watu wote wanaoendesha Madanguro Dar mnajulishwa kutakuwa na Mkutano pale MAWELA PUB Sinza VATICAN tar. 15/9/2013 kuanzia saa 8 Mchana lengo likiwa kuwasilisha malalamiko yetu kwa Wahusika...
Nashindwa kuwaelewa ujue, mbona mnazeeka mapema hivi tatizo nini juzi i met this woman ambaye tukiwa sekondari nilikua natumia muda mwingi sana kumwandikia barua kumfuata kwao weekend.
Vurugu...
Habari zenu wanajamii forum,natumai ni wazima.
Leo nimekaa nikawa nafikiria sana maisha ya mahusiano,ghafla hii kitu ikanijia kichwa kwamba hivi maisha bila kuwa ugonjwa wa UKIMWI yangekuwaje...
Asema kijana ndiye aliyemng`ang`ania
Michael Christian (26)
Hatimaye Mbunge Rosweeter Kasikila (60), aliyefunga ndoa na kijana mwenye umri wa miaka 26, amefunguka kwa...
Leo nataka kushirikiana na wana JF kuhusu namna ya kula embe dodo vizuri.
Kwanza tambua kuwa ili uweze kulila embe lazima uliandae kwanza. Likiwa kwenye mti lazima uende ukalichume -liangalie...
Kama mtakumbuka kipindi cha nyuma watumiaji wa Internet tulikuwa wachache na wengi wetu hata uwezo wa kumiliki laptop tulikuwa hatuna tulitegemea kulipia one hour kwenye cafe kusoma email zetu na...
Jamani nimesoma gazeti moja leo la kiganda nimecheka mbaya, jamaa mmoja kapigiiwa simu mke wake yuko na nyumba ndogo lodge akamtuma mtu aende hiyo hotel alipoona gari akampigia kaka ni kweli...
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara.
Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.