Anataka naye awe na picha Instagram

Anataka naye awe na picha Instagram

jeune

Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri bado sijamjibu hebu nawe nisaidie " yeye siku moja alikuwa anatizama picha alizo post mkewe katika instagram akakuta karibu watu wake wote wakaribu picha zao zipo.

Tena zingine zinajirudia lakini hakuona picha ake hata Moja" basi hilo jambo linamuhuzunisha kweli.

Eti nimshaurije.
 
Mwambie mkewe anaogopa kuibiwa sababu nasikia mme wa mtu mtamu
 
heeeh!!!! mwanaume analilia kuuza sura instr. kwel kazi ipo. wanawake wenyewe wanaotupia picha kule mi naonaga kama hawana kazi zakufanya vile.
 
ndiyo maana mie sitakagi kabisa hii mitandao.....yani sasa hilo ndiyo la kumuumiza kichwa na kuja kuomba ushauri........
 
ogopa sana mume/mke akiwa busy na mitandao ya kijamii kama vile IG, whatsap, FB
 
Duuh itakuwa ni sura mbaya au hana utanashati ndo maana anaoona aibu kumweka hadharan....lol
 
Huyo mke ana akili sana. Anaogopa kuharibia ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe.
 
heeeh!!!! mwanaume analilia kuuza sura instr. kwel kazi ipo. wanawake wenyewe wanaotupia picha kule mi naonaga kama hawana kazi zakufanya vile.

Yaan wewe una mawazo kama Mimi, yaan huwa najiuliza inakuwaje mtu anaweka picha inst tena kwa siku hata kumi zinafika
 
Yaan wewe una mawazo kama Mimi, yaan huwa najiuliza inakuwaje mtu anaweka picha inst tena kwa siku hata kumi zinafika

Kuna watu wanashughuli we acha tu...ndio kupiga picha wamebetua midomo...mara wamegeuzia makalio camera yaani sijui huwa ni nini kinatafutwa kule
 
Yaan wewe una mawazo kama Mimi, yaan huwa najiuliza inakuwaje mtu anaweka picha inst tena kwa siku hata kumi zinafika
kwani kitendo cha kuweka picha kinachukua muda gani?masaa mangapi?
 
Huwa hawana kazi hadi kuanza ingia huko fb,insta etx
 
Ha ha ha mwambie na yeye atupie za mademu wa kitaa wazuri wazuri itamsaidiaa
 
ebhane kuna mdada namfaham sana familia yake..kwenye ac yake ya insta kuna masela kibao lkn mume aneku hata kidogo.....
 
Back
Top Bottom