Kumpeleka mchepuko nyumbani kwako kunamaansha nini?

Kumpeleka mchepuko nyumbani kwako kunamaansha nini?

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
Unakuta mwanaume anampeleka mchepuko nyumbani kwake anapoishi na mkewe tena wanabanjuka kitandani anapolala mkewe.

Haya si matusi jamani na dharau au ufahari kwa wengine,acheni hizo wanaume mnawazalilisha wake zenu wapeni heshima ata kama mmewachoka.
 
What? That lackadaisical poor thing does not deserve to be a husband.
 
Ukiona hivyo hupaswi hata kusubiri talaka, muda huo huo beba vyako ukimbie! Ukifanyiwa hivyo ni kwamba umechokwa hata aibu hakuonei tena kwako na hata kwa jamii ikuzungukayo!!
 
Ndio mana michepuko mingi inawazarau wenye Mali kama mume Hana heshima kwa mkewe yeye afanyaje.

Na dunia imebadilika, unampeleka chumbani kwa mkeo akibeba nguo ya mkeo akamfanye kichaa utamlaumu nani, au wanafikiriaga michepuko haitaki kupanda cheo.
 
unakuta mwanaume anampeleka mchepuko nyumbani kwake anapoishi na mkewe tena wanabanjuka kitandani anapolala mkewe,haya c matusi jamani na dharau au ufahari kwa wengine?.acheni hizo wanaume mnawazlilisha wake zenu wapeni heshima ata kama mmewachoka

Kama ni kweli it is too bad. Lakini ingependeza zaidi kama ungeweka evidence
 
duh, hata kama umemchoka mkeo kwa jinsi gani, kufanya hivyo ni zaidi ya dharau na kukosa ustaarabu kabisa. hii haipaswi kuwa kwa mke tu, hata ukiwa na fiancee kupeleka vicheche nyumbani au hoteli mnayopenda kupunzika na fiancee au mchuma sio ustaarabu kabisa. Mi naunga mkono hoja kwa asilimia mia.
 
huyo mke na yeye yupo home??au anakuwa kasafiri?
 
huyo mke na yeye yupo home??au anakuwa kasafiri?
wanaume wengi hufanya hivyo wake zao wakisafir...nina ushaidi wa majirani zangu wa utotoni...
labd those dys michepuko haikuwa inatumia juju...maana hao ma wife wangekoma
 
wanaume wengi hufanya hivyo wake zao wakisafir...nina ushaidi wa majirani zangu wa utotoni...
labd those dys michepuko haikuwa inatumia juju...maana hao ma wife wangekoma
Kabisa hata mimi nilishashuhudia hiyo tabia kwa wengi tu,mke akisafiri mme analeta hawara ndani.Ila hao wanaume huwa nashindwa kuwaelewa kwa nini wanafanya hivyo?
 
wanaume wa hivyo ni mabogas tu hata unachepuka fanya siri hata rafiki zako wasijue
 
Mwanaume aliyewaka tamaa ya ngono ni hatari hata zaidi ya simba..maana muda huo akili yake yote inakuwa imehamia chini..na maamuzi yake huwa yanaongozwa na hisia za kiungo chake cha uzazi...
 
Mwanaume ana vichwa viwili cha juu ambacho hutumika kufikiri na hiki cha chini kazi yake kukojolea sasa ukiona mtu anatumia kichwa cha chini kutoa maamuzi basi jua mtu huyo hashindwi kufanya mambo kama hayo.
 
Back
Top Bottom