Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vijana wengi bado washamba sana katika suala zima la kutongoza, huwatongoza wanawake kwa kuwalaghai kuwa anamiliki hiki au kile wakati akijua fika hana kitu,tabia hiyo ni ya kishamba kabisa na...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Hali zenu waungwana wenzangu. Kama kawaida mi huwa naleta thread za mambo yanayohusu maisha yangu ya kila siku ili mnisaidie ushauri. Nlipokuwa bongo nlikuwa na girl friand wangu aliekuwa...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari wana Jamii forums. Nilianza mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana Mwanza kipindi tunaanza mahusiano nilimuuliza ana mtoto alikatakatakata nilimuliza sababu ya dalili alizokuwa nazo...
3 Reactions
162 Replies
11K Views
Women, just as men, have affairs. Although statistically men have affairs more often than women do, wives still cheat. In fact, the number of wives cheating on husbands has risen dramatically over...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa. Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari wana Jamii Forums. Hivi kwanini baadhi ya mabinti wanaojidai eti wana ujasiri wa kuwa aproach wanaume wanaona wamevutiwa wanashindwa kuwa waelewa. Unakuta mtu kakufuata kaanza...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadada kuweni makini na mahusiano,mwanaume akikuzalisha na asikuoe hupunguza sana nafasi yako ya kuolewa hasa na mwanaume wa ndoto zako. Mila nyingi zinakataza vijana kuoa mwanamke ambaye amezaa...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Siku hizi imekuwa kawaida mabinti wanapotaka kuolewa huwapa wachumba wao hasa wasio na kipato mahari ili wakalipe kwao, kuna wanawake kama watano nawajua wote wamejilipia mahari. Sasa najiuliza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba...
0 Reactions
215 Replies
20K Views
Hi guyz,naamini mpo poa. Kama title ilivyo napenda kuanza na maneno haya."you need to make a commitment, and once you make it, then life will give you some answers." Ndugu zangu nmejikuta...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
please be my valentine
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Vibaya sana mwezi tu baada ya mama kufariki, katangaza kuoa. Ikatokea sintofahamu kati yake na kaka zake juu ya huo uamuzi, kaka wakimsihi avute muda maanake ni aibu. Sasa miezi mitano imefika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu mamembers. Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washikaji wangu wa karibu na huniambia kwamba...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Umri wangu 30yrs, mfanyakazi, mkristo Roman Catholic, natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo: - Umri 25 - 27. - Elimu diploma - digrii. - Asiwe mchaga, mhehe au mnyakyusa. - Awe mkristo. -...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Katika umri wa miaka 38 sasa nina mke na watoto watatu,sometimes najuta why she came into my life,this single mom, very cute,beautiful,sexy and sweet. Kama ningekutana nae kabla ya kuoa,lakini...
10 Reactions
219 Replies
26K Views
Sijui ndio udhaifu wa kushindwa kujidhibiti au sijui ni nini, katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa.Ni rahisi sana kwa mwanaume kukubali anapotongozwa na mwanamke, kuliko mwanamke kukubali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba msaada juu ya hili, kupata mpenzi wakati mnasoma mkiwa na lengo moja la kuoana baada ya masomo.Ni hivi Mchumba tuliyependana wakati tunasoma tuliheshimiana vizuri hakunigusa...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Naomba kutangaza kuwa tuna nafasi chache zimebaki kwa wadada wa Moshi/Arusha umri kuanzia miaka 29 to 40 ambao wanajiona wapo wapweke kipindi hiki. Masharti ni marahisi tu: 1.Awe ni mdada/mama...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Kuna dada ambaye nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka wa tatu sasa, lakini amekuwa akinifanyia vitendo vya ajabu sana na tulishafikia uamuzi wa kutengana mara kibao ila baadae tunarudiana lakini...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nahisi litakuwa la kuvumilia vibao.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom