Nimeamua kuwakumbuka wale wote ambao usiku wa leo hawata kuwa karibu kwa sababu moja ama nyingine, walio toka ku break up recently pia si mbaya kushare this song na mwenzio ambaye yupo mbali...
Hayati Shabani Robert aliwahi andika "Msiba na nyemi" akimaanisha panapo msiba si simanzi na majonzi pekee hutawala bali hata furaha na vicheko huwepo.
Leo ni siku Maalum kwa wapendanao...
Natumain hamjambo wana MMU.
Ila mi nina moja tu naomba mnelekeze jinsi navyoweza kusoma message alizotumiwa mchumba wangu na mtu yoyote kwa kutumia simu yangu.
Msaada please.
Kama vile natania lakini ndiyo ukweli huu,juzi kati niletewa kadi ya mwariko na gelofrend wangu kuwa mama yake mama mkwe anaolewa mwezi wa tatu.
Back ground my girl riandf ni first bon kwa mama...
Yaani mimi Natalia Guitar nikiweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na heart,wanangu wanapelekwa kwa bibi yao.
Nyumba nzima ni mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka...
Hakuna jipya kama unampenda utamlinda na kumjali siku zote na sio valentine day tu. Ni unafki tu asilimia kubwa ni siku ya michepuko tu. Na ingeitwa michepuko day ingependeza zaidi.
Hi, wana MMU.
Ni wiki ya mapenzi na wapendanao,nimekutana mahali na habari ya vyakula, wanasemaa vinaamsha hisia,sijafanya utafiti lakini, kama na wewe wajua baadhi, tusinyimane mambo, tushee...
Nilikuwa nikijiuliza namna ya serikali itakavyoweza kukabiliana uzinzi a.k.a kuchepuka kwa kutoa vitambulisho maalum kwa wana ndoa na viwe na picha zao wote yaani mume na mke.
Na kila gesti...
Nina miaka 32 male,nimeajiriwa,rangi-maji ya kunde,mrefu kiasi 156cm,elimu ya chuo kikuu,mwenyeji wa Simiyu na ni mkristo.
Natafuta mke mwema,mkristo wa kweli,mrefu,mweupe au chocolate colour...
Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.
Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu...
Salamu kwenu wa MMU.Nimewamiss naamini kuwa wote mko pouwa.
Kuelekea kwenye sikukuu ile ya valentine yaani siku ya wapendanao napenda kuwambia kuwa ninawapenda sana. Pili kuwakumbusha kuwa na...
Yeah kinachonisukuma kuandika ni hii hali ya wapenzi kulipiza kwa kila jambo wakati mwingine bila kutafakari kwa kina. Kwamfano kama mwanamume amechelewa kurudi mdada nae anajichelewesha...
Nimeamini kweli mapenzi yanaua kabisa,watu wameuana kwa sumu,risasi,visu,mishale,mikuki,na kila aina ya silaha kisa mapenzi,ukitaka kumharibia mtu siku yake basi mguse kwenye mapenzi.
Nachoandika...
Also ni member hapa jf hapatikani tangu february tar 09,tumuombee arudi salama maana nimeona taarifa BBC kwa kweli macho yamenitoka pima.
najiskia vibaya sana jamani hii dunia si sehemu salama ya...
Nimekuwa nikiwachunguza sana madada wa siku hizi lakini sababu sikuweza kuifahamu haraka maana hata kama nipo na mpenzi wangu huwa sipendi kumuuliza jambo hili.
Siku hizi wadada wengi wanakuwa...
mim ni kijana wa miaka 26, mjasiriamali natafuta mchumba umri (18-21), Kwa aliye tayari aniPM,,,SIBAGUI_Dini au kabila ila awe na heshima pia mapenzi ya dhati
Jamani kuna wanaume sijui ndio tuwaite wagumu,maana wazungu wanawaita cold man,mwanaume unampenda mwanamke lakini unajifanya kama vile ujali.
Mwanamke I love you anaisikia kwenye muvi,simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.