Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume hatufanani kuanzia sura mwendo na hata tabia lakini sio hayo tu, kama binadamu wengine wote tukiugua unaweza kuwa na Malaria 10 ukawa husukii hata dalili moja na mimi nikawa na 2 tu nikawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forums. Mimi niina miaka 26 ninafanya kazi za imformation technology, nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa kweli mapenzi yangu na yeye yaliaanza kama utani, kama kuna limbwata basi huyu msichana aliniwekea limbwata ya kiwango cha juu. Niliachana na mpenzi wangu aliyekuwa na adabu na heshima...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Nimekuwa nikishuhudia watu wa jinsia ya kiume wakishambuliwa kwa kuitwa majina kama domo zege, huko mtaani hujaona n.k. kwenye jukwaa la MMU (Love connect). Baada ya kupost kuwa anatafatufa mke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii naona inawatokea sana watu wanaishi pamoja ambao hawajafuna ndoa,wanaume wengi wamekuwa wakilalamika kuharakishwa kufunga ndoa hata kama hawajajipanga. Mtu wangu mmoja alinilalamikia kwamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habari za hapa, mimi ni binti age 26yrs nafanya kazi ktk kampuni fulani hapa Dar, nina mchumba wangu tulipanga kuoana tangu mwaka jana nilipopeleka taarifa home wazazi wakawa wagumu kwa sababu...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Leo nimekuja na mada nyingine, kama kawaida ni mada nzuri itakayokupa ufahamu mpya juu ya maamuzi yako yahusuyo mapenzi. Hivi ni kweli kwamba unautendea haki moyo wako? Mpenzi uliyenaye unampenda...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu. Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand. Sasa naomba ushauri huyu demu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hatupendi kuachana kwa mabaya katika mahusiano ila mtoto aliyezaliwa kwenye mahusiano mapya hivi ni sahihi kupewa jina la aliyekuwa mpenzi wa zamani, obviously is allowed but is it right.
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wabari wana Jamii forums. Mimi ni kijana mwenzenu age yangu kati ya 25-30 nimekuwa nikitafuta mwanamke ambaye naweza kutengenezea nae mahusiano ya kweli yatakayo tupeleka kwenye ndoa. Lakini...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hali zenu wana MMU? Kuna jambo nashindwa kulielewa, mdogo wangu aliolewa na jamaa ambae hata kazi alikua hana tukamsaidia kumpa mtaji mpaka mambo yake yakawa sawa, alipopata vijisenti akamjeuri...
5 Reactions
114 Replies
11K Views
NB: Elimu haikua kigezo kwangu na wala sikuwahi kufikilia kuja kumnyanyasa nitakae mpenda sababu ya elimu. Kipindi hiki chote cha kuomba na mengine yule kaka sikua na mawasiliano tena kwa muda...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
During America's most popular TV event, the Superbowl, one much-anticipated advertisement featuring supermodel Adriana Lima painted a pretty sad state of affairs with regards to love. In an ad...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Habari wana Jamii forums. Mimi na wakuu wengine wengi this valentines tupo single, bwana hebu tupeni ideas on what to do to make it special kumbuka valentines sio kwa wapenzi pekee yake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Poleni na kazi wana Jamii forums. Imewahi nitokea mara mbili. Mpenzi wangu ananiuliza kama najua kiasi cha mahari yangu au itakuwa ina range kwenye sh.ngapi. Huwa najiuliza maswali mengi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Nyumba za kupanga kuna mambo. Jana usiku jamaa karudi home na msichana wa kazi ambaye katumiwa na ndugu zake kijijini. Asubuhi hii full kindumbwe ndumbwe mke kamaind full ugomvi eti huyo ni mke...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wadau. Nina mpenzi wangu tulianza mahusiano tangu tuko O level, chuo mpaka sasa tupo makazini tuna miaka 9 kwenye uhusiano mpaka sasa na wote tuna umri sawa miaka 28. Tatizo kuna vitu...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Mi naitwa Gabi nina miaka 26 natafuta mke wa kuoa kabila lolote ani pm nimpe namba tuongee.
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Unamkuta mdada na kiherehere chake cha pepo la ngono zembe, kapewa mimba akiwa nyumbani kwao then anaanza kudeka wakati tayari keshatia doa home. Amekaa tu bila kujishughilisha kuanzia mimba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom