Natafuta mume,umri kati ya 37-42

Natafuta mume,umri kati ya 37-42

pamiho

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
271
Reaction score
36
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.

Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
 
Kila la kher dada.... Ila huo mstari wa mwisho nimeumia roho sihui kwanini
 
Nani ambaye hana familia na umri wa miaka hiyooo... sema watafuta Mme wa Mtu tu...... But that Non of my business

Waume wa watu mnaitwa huku
 
nimepishana nao wanakuja mbio kweeeli,

kuwa makini kwani kuna wanaume wanajidai wanawake na kuna wanawake wanajidai wanaume humu
 
Angalia kwa kwa inbox.I real need a woman to marry.
 
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.

Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!

Nime ku-PM.Nina uhitaji sana
 
Back
Top Bottom