Bojan
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 259
- 423
Habari wana Jamii Forums.
Hivi kwanini baadhi ya mabinti wanaojidai eti wana ujasiri wa kuwa aproach wanaume wanaona wamevutiwa wanashindwa kuwa waelewa.
Unakuta mtu kakufuata kaanza kistaarabu tu lakini ukisha mwambia hapana utasikia mara mwanaume gani wewe mara wakiitwa wanaume na wewe utaenda na maneno mengine kibao ya uzalilishaji.
Sasa kama uliona mi si mwanaume ulikuja kunifuata ili iweje,mbona sasa tukiwatongoza mkikataa tuna kausha ila nyie mnanini mpaka mkitutaka tusiwakatae.Kila mtu anachaguo lake Hakuna kulazimishana nisipo ridhika na wewe lazima ntachepuka tu.