ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,388
Habari wakuu.
Naomba msaada juu ya hili, kupata mpenzi wakati mnasoma mkiwa na lengo moja la kuoana baada ya masomo.Ni hivi Mchumba tuliyependana wakati tunasoma tuliheshimiana vizuri hakunigusa sikumgusa mpaka tunamaliza masomo . Baadae kila mtu kwao.
Ila wakati tupo mbali mawasiliano yalipungua hapigi/hapokei simu wala message hajibu/kutuma akijbu we ni malaya koma kutusumbua tumepumzika.Iliniuma nikammwaga chini,ajabu miezi miwili tu message zikaingia nyingi, nina hamu na wewe,twende room nakutaka tuonane.
Nilipomwona tu nkamuuliza juu ya message za awali, alikana si yeye na kuwa watu wanashikaga simu yake wengi nikamsamehe cause nami yanaweza tokea kwangu ila room no!no! akarudi mkoani kwao.
Tatizo akiwa mbali mawasliano yanakufa, kinachoniudhi akitaka tuonane ye n room tu hapangilii mambo mengine ya maendeleo.Pia akituma message ni ya shida za room tu otherwise no communication.
Kiukweli siyaelewi haya mapenzi yaani ukiwaacha mnaosoma nao unajishaua, ukiwafuata mwisho wa siku ndio huo hupati mlengwa.Ukifuata mtaani mara kachokwa chuoni/katumika sana,ukikaa single anagundu,mara wasomi wanabagua.