Kama unataka ndoa yako idumu, basi mtu unaekutana naye maeneo haya usioe/kuolewa naye;
-Baa.
-Club.
-Chuoni.
-Mnadani.
Mengine ongezea.
Oa/olewa na mtu uliyekutana naye...
Najua mambo ya imani ni sensitive na hapa siongelei wale ambao ki ukweli ni wacha mungu. Kuna watu matendo yao na maisha yao ya kila siku yanaonyesha ucha mungu bila kujali dini zao,lakini hata...
Rafiki yangu ana mpenzi wake ameshamtambulisha kwa wazazi na kumvisha pete, changamoto aliyonayo ni kwamba mchumba wake ana mdogo wake wa kike ambaye imejulikana anatoka kimapenzi na mdogo wa...
Yaani sipendi kuona mwanamke kwenye vazi la suruali huwa hanivutii kabisa! Na hasa siwezi kabisa kuongozana na mwanamke aliyevaa suruali. Kwa bahati nzuri wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao si...
Kaka yangu mtoto wa mama mkubwa,alioa mke ambae alizaa watoto 2 na mwanaume mwingine. Yeye hajazaa nae hadi leo na ni mwaka wa 3 tangu waanze kuishi pamoja.
Huyo shemeji watoto wake aliwaacha kwa...
habari zenu wana jukwaa..! ni imani yangu kuwa mu-wazima wa afya kabisa!
leo nimekuja kwenu tujadiliane hivi vitu vichache juu ya matumizi ya sahihi ya condom, naweza nisiwe sahihi, ndio maana...
Asikudanganye mtu,usidanganyane na nakupenda kutoka moyoni mapenzi ni pesa bwana,mpaenzi ni sawa na biashara siku hizi,huna mtaji wa kutosha. unafunga biashara unasepa zako kijijini kushangaa...
Habari usiku wana MMU.
Kuna binti mmoja hapa chuoni kwetu nimetokea kumpenda najaribu kumsogeza karibu kwa njia ya mawasiliano. Watsaap anajibu tena kwa kifupi lakini nikimpigia hapokei kabisa...
Kuna mshua mmoja ameoa na ana watoto kama wanne hivi. Yeye na mke wake wanafanya kazi taasisi moja, na tena wako ofisi moja, na wanafanya kazi moja. Hii couple wamejaliwa, pesa kwao siyo tatizo...
Habari zenu wadau.
Nimeiona kauli mbiu ya maadhimisho ya Valentine's day 2015,"mapenzi pesa maua mpelekee nyuki atengenezee asali ,kadi peleka kliniki"
Je wewe unaizungumziaje hii kauli mbiu ya...
Nimefanya utafiti kuhusu wanaume wanaofanya mahusiano na wanawake tofauti hadi wanapofikia hatua ya ndoa, nikagundua kuwa wanawake wote wanaopitiwa na mwanaume huyo.
Wanakuwa ni wana mvuto mkubwa...
Eti utakuta baba mzima baba mwenye nyumba ila amri na sheria zote nyumbani anapanga mama, ndugu akija kusalimia nauli ya kurudi anaomba kwa mke pesa yote ya mshahara kaisarenda kwa mama.
Yeye...
Hakuna asiyejua kuwa mapenzi ndio yana run dunia,Hakuna asiyejua utamu wa mapenzi kutoka kwa yule umpendae kwa dhati kutoka moyoni.
Hakuna asiye jua jinsi gani ilivyo raha kupendwa ,kujaliwa na...
Awali ya yote, niwatakie 14 Feb njema wana Jamii forums.
Huitaji kamusi yoyote ile kujua maana ya dhana nzima ya urafiki, na washiriki wake-marafiki.Urafiki hujengwa kwa njia nyingi sana, msingi...
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi kumbikiri. Hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye.
Adulterous Affairs Don't Begin with Sleeping Together; they begin with inappropriate friendships. Friendship and emotional attachments with people of the opposite sex can spell danger for your...
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi.
Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.