Kuna wanaume wanajua kutongoza

Kuna wanaume wanajua kutongoza

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Vijana wengi bado washamba sana katika suala zima la kutongoza, huwatongoza wanawake kwa kuwalaghai kuwa anamiliki hiki au kile wakati akijua fika hana kitu,tabia hiyo ni ya kishamba kabisa na wala si ujanja ila ujinga mtupu,dunia ya leo imebadilika sana.

Wanawake ni wengi mno tena warembo kupindukia na wanatafuta wapenzi, si lazima umdanganye mwanamke ndo umpate, mueleze ukweli,mapenzi yenye ukweli ndani yake ni mazuri sana na yanadumu Milele.

Uongo ni mbio za sakafuni tu, nimeipenda sana staili ya huyu jamaa anayemtongoza misschagga,hakika ule mtongozo umeenda shule, kisaikoloji kaweka ID ya kuonyesha kuwa kweli kapenda na kajieleza wazi kuwa yeye hana pesa, akibahatika kung'oa mzigo basi ata enjoy sana maana mwanamke atakuwa anajua kuwa yupo na mtu asiye na kitu.

Mara nyingi malimbukeni ndo hupenda sana kutangaza pesa kwa wanawake, huo ni ushamba,tumeona wanawake mabwana zao awna pesa na wanawagegeda vyema lakini mchepuko uko palepale, mwanamke kama hakupendi hata umnunulie gari ambebe houseboy na kugegedwa.
 
Amwambie ukweli kwani anataka awe wa kudumu ? wanakwambia eat & run
 
Kale kajamaa kanaonekana kana id's mbili niamini mimi
 
Kutongoza kipaji, kukubaliwa ni ushujaa, kukataliwa ni uzembe.
 
Bahati mbaya miss chagga yeye anahitaji ready made!!
..mambo ya, ooh tutatafuta badae ye hana! ameangukia pua huyo dogo
 
Last edited by a moderator:
mie bado mgeni hapa hivi siku hizi kuna kutongozana kweli ?

Ninachokifahamu mie ni kwamba siku hizi tuna approach zile kama za Yesu yaani ukikutana na mwanamke unamwambia "NIFUATE " ndo umemaliza eti
 
Back
Top Bottom