Sababu 5 Zinazoweza Kumfanya Mke Wako Atembee Nje ya Ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu 5 Zinazoweza Kumfanya Mke Wako Atembee Nje ya Ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Allien, Jun 7, 2009.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Women, just as men, have affairs. Although statistically men have affairs more often than women do, wives still cheat. In fact, the number of wives cheating on husbands has risen dramatically over the past few years. Currently, new studies now show that between 35% and 40% of all wives cheat on husbands while the statistics for men are between 40% and 50%. If you suspect your wife is having an affair, it could be for any number of reasons, five we listed below for your information.  1. Lack of Attention – Women typically love attention. Therefore, when they feel they are being ignored, they might look somewhere else. For instance, if a husband comes home each night expecting dinner to be on the table, the house cleaned, and the kids finished with homework, he walks in but passes the wife without a hug, kiss, or acknowledgement for a job well done, she is going to feel isolated and ignored. Now, when that same woman visits the grocery store and a man shopping in the same section smiles at her or perhaps picks up something she dropped, she immediately feels important.

  2. Quality Time – Even if a husband were spending time at home or with the wife, if he is constantly working, reading, doing chores outside, and so on, it means his wife is not getting any quality time. Most women want and need special time such as a date night. With this, she is pampered and given the husband’s full attention.


  3. Lack of Confidence – Over time, couples can become so comfortable with one another that they forget the importance of dating and affection. Eventually, a wife may begin to feel a lack of self-confidence. When a woman gets into this kind of rut, she no longer feels beautiful and sexy, as she once did. If another man is paying attention to her, adoring her, offering her compliments, or inviting her to lunch or dinner, she suddenly gains confidence, feeling again like a woman.


  4. Lack of Intimacy – An old belief is that men are more sexual than women are. The truth is that many women are just as sexual than the husband is, if not more so. Therefore, if the marriage has become stale and stagnant, otherwise boring in the bedroom, some women will look for physical satisfaction outside the home in the form of an affair.

  5. Finances – Depending on the situation, some couples are overwhelmed with bills. In addition to the mortgage, there is the cost of the children, school, groceries, sports, you name it, and the money is gone. This means the wife seldom has extra to buy a new dress, go out with friends, or simply splurge on herself. Although this challenge can be hard to fix, but not impossible, if another man were offering her bling, taking her places, and showering her with gifts, she may feel inclined to cheat.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kuna wengine tu ni paka mapepe!! Period!

  Hata apewe nini atatembea tu nje!!
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kunguru hafugiki, why all the time women have only to be considered. Men are not slaves for women. PERIOD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! BUT vice versa is true
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Duh!!! Aisee nimejianalyse.... i think i must be worried, for the last six months i havent passed any of the five notches
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jun 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa ndugu.
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wanawake wengine kutoka nje ya ndoa ni tabia yao. Hata ufanyeje! Ni ugonjwa. kwao ni fashion. Wanapenda kuonjaonja vipya. Nakubali pia kwamba wapo wengine wanaotoka nje ya ndoa kwa sababu upendo ndani ya nyumba umepungua.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Siku hizi tofauti siioni. Hata wacheza Egoli barabarani nao cheating kibao. Tumezidi kutamaniana na kwa kweli tunasaidiana haswaa. Duuh, tutafika kweli
   
 9. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wengine ni tabia zao tu, bila mafiga 3 bado hajioni kama ni mwanamke.Hata apewe nn, lkn bado anatoka nje ya ndoa. Kwa mtazamo wangu naona cheating ni tabia ya mtu, na kuna kikabila fulani hivi wanafunda kabisa kwamba mafiga 3 muhimu na ndoo na ndoo huendana na kidumu.
   
 10. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hao ni Wazaramo. Ukioa mzaramo jua kuna wanaume wengine 2 nje. Yaani wewe + 2 = 3
   
 11. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Uwiii!!! umetaja kabisa kabila.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ukitaka kumjua mwanamke mwenye tabia za ku -cheat, aka -serial cheater,... ukianza kumhoji maswali mawili matatu mfano; alikuwa wapi, utajibiwa kwa kilio! ...they are sooo manipulative, na wanatumia 'loophole' hiyo ya kujiliza kwa kujua 'sympathy' itakuingia.

  ...ukijifanya 'jiwe' na kuifikisha kesi mbele ya baraza la wasuluhishi, atatumia hayo machozi na kilio cha kwi kwi kuwa manipulate wasikilizaji...(huku moyoni anawang'ong'a!)

  Kama hamuamini, wachunguzeni :)
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mkuu; yalishakukuta m wenyewe au jamaa yako?
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ndiyo maana wakasema, "msimulia mvua imemnyea!" ...si unajua katika maisha ni kawaida kuwa na mpenzi wa kwanza mkaachana, ...akaja wa pili, mkaachana, ...watatu yeye angalau anakidhi vigezo na kustahiki kutolewa mahari... :)

  Ujumbe wangu unabaki pale pale, Beware na mwanamke -mlizi, ...ambaye kwa kulia lia hawezekani, ...ambaye kwa kujifanya eti yu sensitive sana wakati waala, ukimchungua unagundua hakuna 'expert manipulator' kama yeye.
   
 15. l

  lucymtoi Member

  #15
  Jun 12, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uongo ni tabia ya mtu hata kama utampa nini atatoka tu
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  akiwa mgogo,DAH!WATU WATAKUSAIDIA SANA KUPIGA KAZI
   
 17. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaelekea dada wewe una asili ya moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, manake hilo neno hutumika sana maeneo ya Zambia.
   
 18. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ALLIEN,
  Before the above 5 reasons to workout, the woman must be EVIL.
   
 19. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hio ndio Generalisation tunayokataa!! Kuna ushahidi gani kwa Wazaramo kwamba wanafunzwa hivyo ?
  Utuombe radhi tafadhali, Mama yangu ni mzaramo, ameishi na mzee bila kucheat miaka 59 ndani ya ndoa mpaka mzee kafariki, nina dada watano wote wameolewa hakuna hata mmoja kuja na migogoro ya ku-cheat zaidi utakuta hao waume ndio wanakuwa suspect .
  Cheaters ni tabia ya mtu awe mwanamme/mwanamke/mzaramo/mchaga/mzungu nk. Acha kutukana watu tafadhali!!
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Sawa kabisa...kwa kifupi wamezaliwa hivyo...asipotongozwa basi atatafuta kwa nguvu ili mradi ana wa pembeni..
   
Loading...