Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
Vibaya sana mwezi tu baada ya mama kufariki, katangaza kuoa. Ikatokea sintofahamu kati yake na kaka zake juu ya huo uamuzi, kaka wakimsihi avute muda maanake ni aibu.
Sasa miezi mitano imefika, kapokea mafao ya mkewe si alikua msimamizi wa mirathi sasa kawaita kaka zake wiki ijayo wamsindikize kwenda kulipa kupeleka posa na kulipa mahari .
Hatari hii huyu mzee amebakisha miaka 2 astaafu,ame mposa biti sawa sawa na mtoto wake wa mwisho,watu wangi walio pata taarifa hizi wana mashaka juu ya maisha ya mzee huyu baada ya kustaafu.
Kwa maana anajichimbia kaburi mwenyewe kwa maana hana chochote zaidi ya nyumba ambayo haina hata finishingi huko mbagala anakoishi.
Tunaona mbali tunamuhurumia ila utaanzaje mtu na maisha yake.