Ni majanga yayolimkuta rafiki yangu wa karibu siku moja alichukua demu maeneo flani morogoro mjini ili akaliwaze nafsi yake baada ya show msichana akamtega jamaa akiwa amelala akamchapa pesa zote...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna mkaka mzuriii, back in the days alikuwa mzuriii, hb wa kijiji, sasa ikawa kila mdada kijijini...
Jamani yani huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi, hivi ni mtu mwema...
Kuna rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambaye tiyari walikuwa na ahadi yakuoana but hawakuwahi kukutana kimwili.lakini kwa habari za kuambiwa na tabia ya kukangua simu ya mpenzi wake...
Ni kama story but huwa inatokea.
MUME:Darling nina kikao mkoani kesho pls niandalie nguo zangu.
MKE:Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua?
DADA:Ndio nimepanga kabatini.mama anarudi...
Tumekuwa tukiskia kuwa ndoa sio lelemama kweli nimeamini nina mifano mingi sana ambayo bila kumuona mtalaamu wa saikojia kuoa jibu ni no umri umeenda ila kila nikijiuliza jibu linazidi kuwa...
Yaaani huyu mpenzi wangu nampenda kwelikweli lakini anaongea mno. Tupo nae mwaka mmoja, kozi moja, sasa kila tutachofanya atawasimulia room mates wake. Tukipanga kwenda gesti atawaambia...
Helo wanaJamii.
Nimeanzisha uzi huu ili kusaidiana kati ya wanaume na wanawake ambao wapo katika ndoa inapotokea mwanamke kakimbia kwa mumewe kwa visingizio mbalimbali. Hasa wanapotumia neno...
Habari za jioni wadau,
Samahani na nlikua naomba msaada wenu katika selection ya engagement ring na wedding ring mana mimi ni mgen katika hii sekta na mtarajiwa wangu kaniambia chochte...
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa ushauri jinsi ya kumshauri shemeji yangu mke wa rafiki yangu! Nina rafiki yangu wa siku nyingi nahisi anakaribia miaka hamsini sasa (50), ana mke mzuri sana...
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla...
Naitwa manyama ni mtoto wa pili katika familia ya mzee kapanga familia ya mzeee komba ni mda mrefu sana familia yangu imekua ikinisumbua juu ya kuoa sasa mimi naoa kama utumwa vile nataka...
Nyie akina dada/mama mlioolewa hivi kuna haja sana ya kujipodoa kama mabinti ambao hawajaolewa.Sisemi msiwe nadhifu lakini mimi huwa namchallenge mke wangu anapokuwa anahangaika kwenda saloon...
Wadau hawa wasichana hawapo serious kabisa, kuna binti mmoja mkazi wa Mtwara tuliwasiliana juzi na kukubaliana aje kunitembelea hapa kwangu Ubungo.
Hatimaye akakubali na ili nimuoneshe kua nipo...
Hapa namaanisha kutamani kungononoka na refer tabia zetu sie wanaume tunatamani mwanamke yeyote awe mke wa mtu au asiye mke wa mtu, ilimradi ana umbo na sura nzuri hata kama anapete sabini...
Habari zenu waungwana.
Kwa kifupi nina mda wa miaka 2 na huyu fiance wangu wa kizungu. Hapo mwanzo tulikuwa tunaishi kwa upendo, amani na uaminifu wa hali ya juu. Nlikwenda nnapotaka, nlifanya...
Misingi ya ndoa, inabainisha kwamba mwanaume wengine ni kichwa cha nyumba.Hivyo basi ni jukumu la mwanamke - msaidizi kuhakikisha kwamba kichwa kinafunction bila vikwazo ndani na nje ya nyumba...
Tamko 1:
Wanaume wote wenye mahusiano ya kingono na wasichana wao wa kazi "Househelper/housegirl" wana hadhi ya u-houseboy. haijalishi elimu, cheo, fedha au kazi yake, akili yake ni ya houseboy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.