Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

Maadili ya ndoa yamepungua, wanaume hatuna raha

Birdman

Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
79
Reaction score
24
Misingi ya ndoa, inabainisha kwamba mwanaume wengine ni kichwa cha nyumba.Hivyo basi ni jukumu la mwanamke - msaidizi kuhakikisha kwamba kichwa kinafunction bila vikwazo ndani na nje ya nyumba.

Wajibu wa kwanza ni kumpa mume faraja kwa kila jambo jema na kutoa ushauri kwa mumewe. Sio kupinga faraja ni ya kimwili na physical and moral support.

Zingine zipo, lakini katika makundi hayo mawili,sasa nyinyi wanawake tukiishiwa mnahama mji,tukichoka na nyie mnadai mmechoka,mbona dini zote zina maadili sawa.

Wanawake wamekuwa viumbe wa ajabu siku hizi vyanzo vya stress na karaha katika kila nyumba. Mnajilinganisha na waume zenu kihali who said ni haki yenu, mwanamke aliumbwa amsaidie, amnyenyekee na awe kama mama mlezi wa mumewe.

Mume ni sawa tu na mtoto, ila mamlaka tofauti hisia na mahitaji ya kifikra ni yale yale - tubembelezeni tuwafae. Mume ni mfame wa kaya, ndivyo ilivyo, haitobadilika asilani, ni mamlaka tuliyopewa na Mola.

Jamani nawakilisha kwa waliooa mwonyeshe mkeo hili angalizo akumbuke kuamka mapema kabla hujaaamka na ole wako wanaoendekeza tabia ya kukubali kuletewa chakula na housemaid usile ni dhihaka.

Kesho wewe mwanamke mzee akirudi toka kazini, whether wewe pia ulikuwa kazini ama la, mpe offer ya massage 30 minutes na sketi yako la jeans ama suruali la blanketi ama kilimpulini mpe msichana wa kazi, mume anavaliwa satin, cotton, silk ama polyester na please chupi za A4 size achia wasio na mabwana.

Fanya hivyo mzee atakuwa na furaha na nyumba yako yenu itabadilika, na wewe mwanamke uliokuwa kichwa maji mwanzoni utakuja kutoa ushuhuda hapa,acha kumdai mumeo pesa ya matumizi omba pesa ya kuanzisha mradi.

Hiyo ni sehemu ya kwanza tutaendelea siku nyingine.
 
Ukweli upo japo najua utabezwa sana, kwakuwa kuna watu na viatu ambao wanapenda wasikie yale wanayotaka kusia wao tu!
 
Mkuu hili tatizo hata mimi naliona though sijaoa, unajua wanawake wengi sasa ivi wamesoma, elimu ni ufunguo kwelikweli, sasa wanawakosea heshima raia sababu family nyingi siku hizi mwanamke anamake doo sawasawa na mume au hata kumzidi.

Siku hizi nao wanadamka mapema kwenda kwa boss kama wanaume tu, sasa hapo automatically lazima heshima itadrop tu kama ww mwanaume hufanyi kitu cha ziada chenye manufaa.
 
tatizo wote wanatafuta pesa kila mtu anazo hakuna wa kumbabaisha mwenzie
 
Mkuu hili tatizo hata mimi naliona though sijaoa, unajua wanawake wengi sasa ivi wamesoma, elimu ni ufunguo kwelikweli, sasa wanawakosea heshima raia sababu family nyingi siku hizi mwanamke anamake doo sawasawa na mume au hata kumzidi.

Siku hizi nao wanadamka mapema kwenda kwa boss kama wanaume tu, sasa hapo automatically lazima heshima itadrop tu kama ww mwanaume hufanyi kitu cha ziada chenye manufaa.
Na maandiko ya dini yanasemaje?
 
Ndio maana mie husisitiza ndoa ya mkataba wa wazi ukisema jukumu la kila mmoja na wenye kikomo
 
Ukweli mtupu aiseee....usiombe hali ya uchumi itetereke, hapo ndio utamjua vizuri mke uliye nae.
 
Birdman,

Heshima kwa sasa imepungua kwa sababu yale majukumu ya mwanaume mwanamke anayaweza kwa sasa wote ni watafutaji.

Umesema usiombwe pesa za matumizi na ilhali unataka heshima vitabu vya dini viko vizuri kabisa na hata hao wanawake hata awe na pesa vipi but huwa anajivunia akutunzwa na kupendwa na mmewe. So ukitaka heshima hua jukumu lako kama mwanaume.

Ndoa ni ya watu wawili na wote mnahitaji kuifurahia sio mmoja ndio asacrifice happiness yake.
 
Ndio maana mie husisitiza ndoa ya mkataba wa wazi ukisema jukumu la kila mmoja na wenye kikomo

Either hiyo ama kuweka wazi suala la wasaidizi incase mke ameshindwa kazi. lwe wazi kabisa! Kama terms za probation kazini.
 
Mkuu hili tatizo hata mimi naliona though sijaoa, unajua wanawake wengi sasa ivi wamesoma, elimu ni ufunguo kwelikweli, sasa wanawakosea heshima raia sababu family nyingi siku hizi mwanamke anamake doo sawasawa na mume au hata kumzidi.

Siku hizi nao wanadamka mapema kwenda kwa boss kama wanaume tu, sasa hapo automatically lazima heshima itadrop tu kama ww mwanaume hufanyi kitu cha ziada chenye manufaa.
Mkuu,

Nninachoamini kwangu kuwa mwanamke ni mwanamke hata asome vipi awe na pesa kiasi gani huwa haliniumizi kichwa, sipendi kuwa mdhaifu na mfumo dume kwangu ndio mpango mzima.
 
Birdman,

Heshima kwa sasa imepungua kwa sababu yale majukumu ya mwanaume mwanamke anayaweza kwa sasa wote ni watafutaji.

Umesema usiombwe pesa za matumizi na ilhali unataka heshima vitabu vya dini viko vizuri kabisa na hata hao wanawake hata awe na pesa vipi but huwa anajivunia akutunzwa na kupendwa na mmewe. So ukitaka heshima hua jukumu lako kama mwanaume.

Ndoa ni ya watu wawili na wote mnahitaji kuifurahia sio mmoja ndio asacrifice happiness yake.
Ndio, lakini kuku na yai mmoja alitangulia.

Misingi ya maadili na asili bado inabaki pale pale. Hiyo ilikewepo kabla ya uchumi na itaendelea kuwapo. Heshima na majukumu havina uhusiano na kutafuta. Hata hivyo, nilisema pia kwamba kipatikane cha kutafutie vingine - miradi - ili kujikimu, sio kutumia tu. Akiba na uzalishaji.

Mwanamke asiyemshauri mwenziwe wala asiyeshughulikia namna ya kujiongezea kipato pia hafai.
 
Unafikiri kwanini babu zetu walikua hawapeleki watoto wakike shule...

Kuepukana na karaha hizo.
 
Kila kitu kinaanza na malezi na makuzi.wana ndoa wa sasa ni wale ambao ni zao la malezi ya single moms au malezi ya freestyle,mtoto kalala nyumban,hajalala sawa wazazi hawana neno,n.k.Mtu wa namna hii kuoana naye lazima ndoa iwe ngumu. malezi ni kila kitu...
 
Na ndo maana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kama kawaida haijalishi imefungwa na shehe au padre.

Maudhi ndani ya ndoa yamezidi, maisha yamekuwa magumu, mwanaume anapigana mwanamke hata faraja hatoi. Yeye kazi yake kumlinganisha mumewe na wengine.

Ndoa ni nyepesi sana ukiwaza kucheza kwaito au salsa ila ukiwaza zile fujo za kule ndani lazima uwe mpole.
 
Back
Top Bottom