Msichana au mwanamke anahitajika just kwa kujenga urafiki, kubadilishana mawazo na kimaisha na mambo mengine ya umuhimu umri kuanzia 18 to infinite, unakaribishwa ukivutiwa na post yangu.
Karibu pm.
Asalaam aleikhum wadau wa MMU.
Huwa najiuliza bila kupata majibu,nimesikia wengi wakisema "hapendwi mtu inapendwa pochi" na maneno kama mwanamke anaangalia pesa ya mwanaume sio sura".Hapa ndipo...
Habari wana Jamii Forums.
Tayari nipo kwenye mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa katika mahusiano kama miez 6 kwanza ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye...
Habari wana MMU.
Leo natoa somo kwa wadada/wasichana linalohusu upishi.Kujua kupika nayo ni muhimili mmojawapo unaoshikilia ndoa.Wadada hawa wa kizazi kipya wengi wao hawajui mapishi kabisa,wengi...
Habari wana Jamii forums.
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo,nimeajiriwa serikalini. Nipo Kahama.
Nahitaji...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna mdada anaitwa V, she is a snob and a half ndo kisa cha kutokua rafiki yangu. Ni mtu mwenye...
Jamani mi naomba niulize humu MMU.
Watu wengi huwa wanaanza mahusiano yakimapenzi wakiwa na umri mdogo hasa mashuleni yani unakuta mtu anakosa raha asipomwona mpenziwe, love massege kwa sana...
Nashangaa sana kuona mwanamke anatumia muda mwingi kujiremba na kutafuta vipodozi badala ya kujifunza mbinu za kimahaba zitakazo mpagawisha mwenza wake.Ukifika kariakoo kwenye maduka ya vipodozi...
Nina mtoto almost 3yrs now, mzazi mwenzangu alinisusia tangu mimba na up to now hajawah mwona mwanangu but he communicates sometimes though hanisaidii malezi kwa maneno kwamba he za still...
Husbands: The reason why other women look attractive is because someone is taking good care of them. Grass is
always green where it is watered. Instead of drooling over.
The green grass on the...
Wakubwa habarini.
Mwanamke anayejitambua ambaye amesharidhika na anasa za dunia ambaye yupo tayari kuishi kwa hofu ya mungu anahitajika.
Elimu siyo kigezo kwa kuwa hata waliotuzaa hawakutumia...
Habari wanajamvi
Nilikuwa na mpenzi wangu juzi kati tukaachana cause yeye alishindwa kuwa na msimamo na mimi nikaamua kuachana naye baada ya kumfuma.
Sasa baada ya kuachana naye ananitishia...
All know that NO lady would ever admit chasing a guy. They also chase dudes in a coded manner and pretend they don't probably because they are naturally born pretenders. They are always like...
Naamini wote ni wazima,kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema, wenye majonzi na wafarijiwe. Nina swali jamani samahani nauliza tu.
Hivi humu jukwani kuna watu hawana ubize kabisa, maana topic...
Sijui pia ni wanawake wamechoka kulea wanaume wa mjini wanaojullikana kama mario,au ni maoni ya mwandishi tu,je ni kweli kiama chao kimefika ukingoni sasa,hasa pia wale wote wanaoishi kwa mwanamke
Tall, dark and handsome may not be the ideal man after all. According to new findings, short men make better husbands. The new study claims that shorter men also do more housework, earn more money...
Vijana wengi sana wanatamani kuoa na kuolewa,yote ni kwa sababu hawajui maana ya ndoa,ndoa ni zaidi ya maisha,ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi,ndoa ni zaidi ya uvumilivu,ndoa ni mateso mazito sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.