Uhusiano wa kufanya mapenzi zaidi na kuzeeka

Uhusiano wa kufanya mapenzi zaidi na kuzeeka

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,529
Eti inaaminika hivyo kufanya ngono sana kunapelekea kuzeeka haraka, je kuna ukweli wowote katika hili,Tafadhali fungukeni machampion.
 
Hiyo ni kweli kabisa ulitaka angalia mfano wa watu au myu umjuae wewe ulinganishe na life style anahoishi unaweza kuona tofauti ikoje wewe utaona mwenyewe
 
Hiyo ni kweli kabisa ulitaka angalia mfano wa watu au myu umjuae wewe ulinganishe na life style anahoishi unaweza kuona tofauti ikoje wewe utaona mwenyewe
sijaelewa
 
Kufanya ngono sana kunapimwaje?

Yaani ukifanya kwa kiasi gani inaonekana unafanya sana na kiasi gani ukifanya inakuwa si sana?
 
asante Sonnita,sasa nakukuta wapi ,maaana umenikaribisha pasipokusema unapatikana wapi?:smile-big:

Hahha.duh!aya nimebadilisha msemo.it was my pleasure.
Hyo karibu ifute.
 
Una maana watu waliooana ndio huzeeka kuliko wale wasiooa au kuolewa? Sina uhakika na mtazamo wako maana walioana ni "stress free" kuliko waliooa au kuolewa
 
Ukweli guaranteed!

Unafanya sijui bao 12 sijui ngapi huko soon makunyanzi yanaanza kufanya yao,Piga kistaa tuu bwana mdogo. Mengine yaachie manungayembe!
 
Hapo kazi ipo ila nchijua kuzeeka ni mapema ni life style ndo chanzo hasa vakula anayokula mtu ngono si tija
 
Kufanya ngono sana kunapimwaje?

Yaani ukifanya kwa kiasi gani inaonekana unafanya sana na kiasi gani ukifanya inakuwa si sana?
Ile kujirudia rudia kulala na wanawake. Mathalani uwe unafanya ngono labda kila Siku na wanawake tofauti tofauti halafu unapiga mabao ya kutosha.
 
Una maana watu waliooana ndio huzeeka kuliko wale wasiooa au kuolewa? Sina uhakika na mtazamo wako maana walioana ni "stress free" kuliko waliooa au kuolewa
Yaani changanya tu wote, ili mradi mtu kachukulia kama dozi ya labda Panadol ama maji!
 
Back
Top Bottom