Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tamko 1: Wanaume wote wenye mahusiano ya kingono na wasichana wao wa kazi "Househelper/housegirl" wana hadhi ya u-houseboy. haijalishi elimu, cheo, fedha au kazi yake, akili yake ni ya houseboy...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Happy Valentines People! Jana bwana i spent the night with my longtime pal, navosema...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi ni kijana nina ndugu zangu tunakutana kwa baba ambao ni 7 wakike 5 wanaume ni 2 mimi mama yangu amefariki nikiwa na miaka 5 nimelelewa na ndugu tofauti. Nilipofikia umri wa kuanza shule baba...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
A Serious Lady, Willing To Chat May Send Me Her Contact Through Private Messege
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari wana Jamii Forums. Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha...
3 Reactions
68 Replies
9K Views
Celebrates victories within his family knows that when his family wins, they will want to win again maximizes what God is doing within his family knows that Jesus never allowed public opinion to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta msichana aliye tayari kutunzwa. Mimi ni mtoto wa kigogo hapa nchini. kwa sasa nafanya biashara pia mbunge mtarajiwa. Naishi Oysterbay kazi yangu ni kuwachukua warembo wakali hasa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na mabadiliko ya ulimwengu imekuwa ni vigumu kuwalea watoto katika njia sahihi. Thread hii maalum kwa sisi wazazi tufunzane hapa. MTOTO UMRI MWAKA 0 HADI 5: Mtoto kwenye kundi hili...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habarin wapendwa...! Kuna suala linanitatiza, kuna mdada nlikuwa nafukuzia miez kadhaa iliyopita na nlikuwa na lengo naye zuri tu ila akanikatalia, cha ajabu ameanza kunipigia simu muda mwingi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo vipi girls. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike aliye Dar es salaam kwa aliye tayari anitafute kupitia. Namba 0683076985.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011 niko na kaujauzito ka mwezi nashukuru sana jf nitawatumia kadi baadhi siku ikifika karibuni sana ni ushuhuda wa...
3 Reactions
147 Replies
11K Views
Hili ni swali ambalo anaweza akajibu mwanaume/mwanamke kwamba; kwanini wanaume wengi huwa hawa-appreciate anachokifanya mwanamke. Yaani mwanaume hata atakosoa, ama ataponda, ama atakuwa na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga...
1 Reactions
178 Replies
28K Views
Salaam wakuu. Mimi ni mgeni Jamii Forums ila hiki kisa kimefanya nije huku,naona niandike hapa angalau nipunguze hasira zangu.Kuna binti ni mdogo wake na shemeji yangu ambaye amekuja hivi...
3 Reactions
117 Replies
15K Views
Habari wana MMU. Jana ilikuwa siku ya wapendanao kama wengi wanavyoiita,maalufu kama Valentines day.Binafsi siku hii huwa sina muda nayo kwani sioni la maana katika maadhimisho yake. Nina rafiki...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia. Nifanye nini anitoke?
0 Reactions
134 Replies
19K Views
Sijui tuite ni fumanizi au ni ngoma droo,mume katoka na mchepuko, mke naye katoka na mchepuko wote wamekutana eneo moja la kufanya uzinzi. Bila kujua kama vile walipanga wote wakabaki wameduwaa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Happy New Year JF. 2014 wasn't easy but this thread isn't about dwelling on the bitter past. It is about those wonderufl moments we had last year however few or brief they may have been...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekutana nae mwezi na nusu hivi uliopita. Nilimwambia naenda kuchukua kondom akasema unapenda,nikamjibu ndio, kwa sababu muda huu hatujafanya maandalizi ya mtoto, pia afya zetu hatujapima...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Baada ya Sauti Sol kuna H_Art Band, one of my favorite right now , Verse 1: Well You See Love, Makes You Do Crazy Things, Ask My Shoes, Uliza kiatu, And What I Went Through To Buy You...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom