Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi. Utafiti unaonyesha kuwa kiumbe chochote kitambaacho na kitembeacho huwa kikisikia sauti nzuri ya mwanadamu akiimba husimama na kusisimka hata kiumbe huyo akiwa hatari kwa binadamu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu leo nimeonelea nitoe kinachonisibu moyoni. Natafuta mchumba. Sifa: (1) Awe ni msomi mwenye degree na kuendelea. (2) Awe ana nia ya dhati ya kuolewa. (3) Akiwa na kazi yake ya kuajiriwa...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Naamini MMU wazima sana.Naomba msaada wenu. Wanaume hii imekaaje maana nahisi sipati majibu iko hivi,jana wakati wa kutoka kazini nikamsubiri rafiki yangu, tukawa tunaelekea kituoni, ili...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Refer to the heading,Mature women aged 30-35 the bigger the better,no strings attached, lots of fun and sex, time to rejuvenate yourself. Inbox me and we take it from there.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wengine nashangaa wakiachana wanaanza kueleza siri zao za ndani na kueleza mambo yao ya uhusiano ulivyokuwa na kutupiana lawama. Mkae mkijua hao mnawaeleza wanazidi kufurahi tu na...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni hivi kwa utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa wanaume matajiri, wasomi na maarufu wanapenda wanawake wenye sura mbaya sijui kwanini. Hata kama mapenzi ya kweli hayaangalii sura au tabia lakini...
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Ukistaajabu ya Escrow utayaona ya Amboni.Tokea filamu hii itoke na kutikisa majumba mbali mbali ya sinema duniani visa vya watu kujeruhiwa na kupata mishtuko wakati wa kugegedana vimeongezeka...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
There's only one reason why you are here right now reading this article you want to learn how to kiss! Don't feel ashamed because kissing is one of the most beautiful and intimate connection...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Soma nyakati sio kipindi cha kufuria unataka bata tu, utajibiwa hivi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 25 nimepitia relationship kama tatu hivi ila sijafanikiwa kuwa na mwanamke aliyenipenda kwa dhati labda kwa vile me nimuumini wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamii forums. Nimekuja hapa mimi ni Musician Gospel napiga piano, drums na gitaa but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Ninayepost uzi huu ni mwanaume, napenda kueleweshwa kwenye namba 4 hapo chini:- Society and media often portray the perfect man in a bow tie who brings flowers and prepares a candle-light dinner...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo: 1. Umri miaka 20 hadi 30. 2.Rangi isiwe nyeusi 3.Urefu wowote. 4.Elimu yeyote...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo...
1 Reactions
0 Replies
16K Views
Mimi nimekuwa mzito sana kukubaliana na tabia ya wanawake kupanda pikipiki hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo, je wanaume tumewahi kujiuliza. Mfano upo tayari mkeo, dada yako au mpenzi...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu. Je, ni sahihi mtu na mkewe pale inapotekea wamegombana na mwanamke kuchukua maamuzi ya kwenda kulala hotelini peke yake.Je utajiridhisha vipi kama alilala peke yake. Tulijadili hili wakuu.
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kila anaetafuta mke au mume anasema awe na kazi ya kuajiriwa au mfanya biashara. Swali una uhakika ubavu wako anafanya kazi au biashara. kwasababu kinacho olewa ni shughuli ya mtu na sio mke au...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu, Vijana wanaume jifunze kitu hapa, yamkini hata na wewe siku yakakutokea, haijalishi hata kama umewahi kuona mkasa kama huu we tulia tu, wengine watajifunza.Hii ni serious ilimtokea...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani nishaurini. Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c. Sijamwelewa But imebidi nikubali...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Back
Top Bottom