Madada-poa ni kiboko, asipokuibia atakusingizia kuwa umemuibia

Mtuhurumawazo

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
146
Reaction score
27
Ni majanga yayolimkuta rafiki yangu wa karibu siku moja alichukua demu maeneo flani morogoro mjini ili akaliwaze nafsi yake baada ya show msichana akamtega jamaa akiwa amelala akamchapa pesa zote na kutokomea kusikojulikana.

Siku ya pili ilikuwa juma mosi Valentine day alichukua demu mwingine ila kutoka na tatizo lililompata la kuibiwa akazibiti mianya yote ya kuibiwa kwa kumwambia mhudumu achukue funguo akae nayo basi mshikaji akajilia vyake mpaka asubuhi.

Akiwa anamlipa ujira wake dema akajifanya anacheki waleti yake na akaanza kumzushia kua pesa zake zimepotea na jamaa rafiki yangu ndio mhuskika mkuu na akibisha anamwitia polisi. Basi 50,000/= Tsh ikamtoka mshikaji na sasa anasema amekoma bora achukue jiko aweke ndani.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Duuh...asiache...ila siku nyingine waandikishane mali zao kabla ya kuanza...na wakimaliza wacheck kama kila kitu kipo
 
Hilo ni onyo tu kwako. Ukirudia tena awamu ya TATU, mshahara wa dhambi.....
 
binafsi, wanaume huwa mnanishangaza sana, haya mpe hongera yake na zenu pia.
 
Ni majanga yayolimkuta rafiki yangu wa karibu siku moja alichukua demu maeneo flani morogoro mjini ili akaliwaze nafsi yake baada ya show msichana akamtega jamaa akiwa amelala akamchapa pesa zote na kutokomea kusikojulikana.

Siku ya pili ilikuwa juma mosi Valentine day alichukua demu mwingine ila kutoka na tatizo lililompata la kuibiwa akazibiti mianya yote ya kuibiwa kwa kumwambia mhudumu achukue funguo akae nayo basi mshikaji akajilia vyake mpaka asubuhi.

Akiwa anamlipa ujira wake dema akajifanya anacheki waleti yake na akaanza kumzushia kua pesa zake zimepotea na jamaa rafiki yangu ndio mhuskika mkuu na akibisha anamwitia polisi. Basi 50,000/= Tsh ikamtoka mshikaji na sasa anasema amekoma bora achukue jiko aweke ndani.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Amuitie polisi kivipi? Kwani yeye dada poa alifikaje gesti? Au alitapeliwa sababu kujiuza kumehalalishwa siku hizi?
 
Ni majanga yayolimkuta rafiki yangu wa karibu siku moja alichukua demu maeneo flani morogoro mjini ili akaliwaze nafsi yake baada ya show msichana akamtega jamaa akiwa amelala akamchapa pesa zote na kutokomea kusikojulikana.

Siku ya pili ilikuwa juma mosi Valentine day alichukua demu mwingine ila kutoka na tatizo lililompata la kuibiwa akazibiti mianya yote ya kuibiwa kwa kumwambia mhudumu achukue funguo akae nayo basi mshikaji akajilia vyake mpaka asubuhi.

Akiwa anamlipa ujira wake dema akajifanya anacheki waleti yake na akaanza kumzushia kua pesa zake zimepotea na jamaa rafiki yangu ndio mhuskika mkuu na akibisha anamwitia polisi. Basi 50,000/= Tsh ikamtoka mshikaji na sasa anasema amekoma bora achukue jiko aweke ndani.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Stori zingine bana duh! Kwa hiyo walifungiwa kwa nje?
 
Ndiyo shida ya kuchukua madada poa wenye njaa kali wa kuokota kwenye night clubs. Next time mwambie atafute kwenye maofisi madada wakali aachane na hao madada poa. Hao ni kwa ajili ya walevi wenye ny - e- ge wazimu
 
Back
Top Bottom