Msaada:Ushauri unahitajika

Msaada:Ushauri unahitajika

molwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
425
Reaction score
456
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa ushauri jinsi ya kumshauri shemeji yangu mke wa rafiki yangu! Nina rafiki yangu wa siku nyingi nahisi anakaribia miaka hamsini sasa (50), ana mke mzuri sana anaejiheshimu na muwajibikaji. Ila huyu rafiki yangu ana matatizo jamani sio mwaminifu kabisa hata kidogo! Kwa ufupi sketi isipite mbele yake ni lazima aifunue! Nadhani wakubwa mmenielewa. Hilo tatizo tumeshamshauri sana na kumwambia kama kamchoka mkewe amuache kuliko kumtesa kwa presha mtoto wa watu! kila siku, majibu yake ni kwamba mke wangu nampenda sana na anafaa sana ila shetani tuu ananipitia!

Wiki iliyopita mke wake kanipigia simu akilia akanieleza kuwa mumewe kamtumia meseji kwa bahati mbaya akimwalika mwanamke wakutane gesti na picha ya huyo mwanamke juu ambayo mke wake anamfahamu alikuwa mwanafunzi wa mumewe na ilishaleta shida kipindi fulani. Anaitwa emma fuime yuko Turiani mkoani Morogoro! Nimeweka picha labda huyu jamaa atabadilika!

Shemeji yangu ana hali mbaya na anawaza kuachana na jamaa! Kumuuliza jamaa anasema bahati mbaya lakini mkewe anampenda! Naamini hapa kuna wataalamu wa saikolojia, maisha kwa ujumla na kidini! Nahitaji msaada wa ushauri jinsi ya kuwasaidia wanandoa hawa!
9k=
 

Attachments

......ingekuwa vizuri uweke na picha ya huyo rafiki yako anayemcheat mkewe.
 
Poa nitamuomba mkewe anitumie, akinipa nitaiweka!
 
Kuna tatizo mahali, na picha tena?
 
Back
Top Bottom