Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Ni kama story but huwa inatokea.
MUME😀arling nina kikao mkoani kesho pls niandalie nguo zangu.
MKE😀ada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua?
DADA:Ndio nimepanga kabatini.mama anarudi chumbani chumbani na kumwomba hubby wake wakacheki tv sebuleni,baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya baba kesho,Dada anapanga kila kitu anatoka.
MKE:Kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandani na weka na maji bafuni,dada anafanya na kwenda zake kulala,
asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwemo na chai,baba anakunywa chai na kuondoka.
MKE😀ada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza
DADA😀ada anatoka na begi la baba mpaka nje,kwa vile mkewe yupo ndani baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto,dada anaitika vyema na kumtakia safari njema.Baada ya muda baba anarudi toka safari.
MKE:huku akitabasamu,dada si umemuona baba amerudi vp chakula tayari?
DADA:Ndio.
MKE:Haya kapange meza vizuri me naandaa juice.Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri hivyo anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa.
Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumbani anamuuliza mkewe vp zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa?Maana nilisahau kusema kama kuna maji
MKE😀ada njoo hapa hivi zile nguo za baba ulizifua?
DADA:Ndio mama(lakini hasemi kama alianua na kuziweka chumbani kwake akidhani atakunja baada ya kazi kupungua)
MKE😀arling zilifuliwa,
MME:Na watoto vp wameishalala?
MKE:Yes darl wamelala
MUME:Vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?
MKE😀ada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?
DADA:Hapana wamembadilishia gari amesafiri kwa muda
MKE:Tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuzitunza
MUME:Basi vizuri,ehee vipi na tuition walienda leo?
MKE:Ndio walienda(anamgeukia dada,si eti ee walienda ee)
DADA:Hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukani nimempa anaendelea vyema,
MKE:Anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!!Asante dada umefanya vizuri,
MUME:Aya mimi niwaache nikapumzike lakini darl nitaomba zile boxer nichome kabla sijalala coz zimeanza kuchoka
MKE:Anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo,
MUME:Basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako,mume anainuka kwenda kulala lkn anagundua mke wake alimwaga nguo kitandani wkt anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni na kuomba kitanda kikaandaliwe,kwa vile chumba cha dada kipo jirani na chao anagundua dada ameacha mlango wazi,anaamua kuufunga ili mbu wasiingie ndani lkn anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pembeni huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga na kutoka,anafika sebuleni na kumkuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda.
MKE😀ada njoo,(kwa sauti ya kunong'ona)naomba ukatandike kitanda haraka,
DADA:Tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo,
MKE:Anaenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende kulala.
MUME:Anaenda kulala lkn akijiuliza ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu wake,kwanza anajua ni kitu gani baba anabeba akiwa safarini,ndie pekee anaemtakia safari njema na kumuombea,vile vile yeye ndie hujua afya za watoto wake,
Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba,si atamfundisha ili kesho asimsumbue mkewe ambae kila kitu humuuliza dada?
Karibuni tutafakari pamoja: