Fundisho kwa wanaume wasiojiamini

Fundisho kwa wanaume wasiojiamini

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Kuna rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambaye tiyari walikuwa na ahadi yakuoana but hawakuwahi kukutana kimwili.lakini kwa habari za kuambiwa na tabia ya kukangua simu ya mpenzi wake alijiamisha kwamba mchumba wake alikuwa na mchempuko ambaye humgegeda, kitu ambacho kilimfanya jamaa akomae kuomba mechi kwa binti,
siku moja binti kamuomba tsh3000.

Hivyo akaenda hadi geto kwa jamaa.kufika tu jamaa akanza maswali unaniomba hela ya nini binti akamwimbia anaumwa akamuliza unamwa nini akajibu tumbo swali likaogezwa kwahiyo tumbo, hilo ninaweza likaharibu shughuli yetu ya leo binti akajibu shughuli gani.

Hapo jamaa akamvuta mkono akawa karibu yake na kuanza kuonyesha dalili za wazi kutaka mechi binti akamwambia unavyotaka kufanya sivyo cause mimi naumwa, hatimaye binti akawa muwazi akamwimbia yuko kwenye siku zake, kwa ubishi wa jamaa anataka aprove kama ni kweli kwa kulazimisha sana binti aliweka mkono nakushika ile damu nakumuonyesha jamaa. Kwa sasa binti hamtaki kabisa jamaa.
 
Si kawaida nusu saa nzima hujapata comment..vipi credibility imepungua??.....KARMA IS A B...
 
Si kawaida nusu saa nzima hujapata comment..vipi credibility imepungua??.....KARMA IS A B...

Ukiona hivyo mkuu Tyta basi ujue hadhira ameelewa kwa 100% na ahitaji ufafanuzi wa aina yoyote.
watu hukometi kwa kujeli kama hawajafurahishwa na mada.
au kuuliza maswali kama hawajaelewa mada.

basi ukiona kimya maana yake wameelewa.
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa sio mwelewa kabisa,kwani siku ni hiyo tuu hakuna sikunyengine,na mwanamme mzima cm ya mpenzi wako unapekura nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom