Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.

Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo huwatokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones. Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wana MMU.

Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano akikisha unampa mke/mpenzi chake amalizapo siku zake.

Nawasilisha
 
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.
Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo hutokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones.
Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wanaMMU.
Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano HAKIKISHA UNAMPA MKE/DEMU CHAKE AMALIZAPO SIKU.
Nawasilisha!

Ni kweli, mie wangu yupo hivyo hivyo siku chache kabla na baada
 
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.
Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo hutokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones.
Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wanaMMU.
Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano HAKIKISHA UNAMPA MKE/DEMU CHAKE AMALIZAPO SIKU.
Nawasilisha!
Hii hali inakutokea wewe au nani mananke mambo kama haya lazima uwe mhusika ndipo uyajue undani wake au wewe ni ke.
 
Nimekutana nayo kwa demu mara kadhaa akiniambia hivyo nimeona sio mbaya tukashea hapa
Na mademu wajf wadhibitishe hali hiyo kwa faida ya wote
 
Aah kwani demu ni tusi,
Lina tofaut gani na baby mahabuba etc
 
Sema demu wangu

nta clique hiko kibutoon mimi
report-40b.png
 
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.

Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo huwatokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones. Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wana MMU.

Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano akikisha unampa mke/mpenzi chake amalizapo siku zake.

Nawasilisha

Heaven on Earth na Bantu lady embu naomba uzowefu wenu wa chini kabisa
 
Back
Top Bottom