Wanaume tumewahi kujiuliza hivi?

Wanaume tumewahi kujiuliza hivi?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Mimi nimekuwa mzito sana kukubaliana na tabia ya wanawake kupanda pikipiki hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo, je wanaume tumewahi kujiuliza.

Mfano upo tayari mkeo, dada yako au mpenzi wako apakiwe kwenye pikipiki kwa mtindo wa mwendesha pikipiki kuwa nyuma yake,kwa taarifa yenu madhara yanayopatikana kwa mwanamke wako kukaa nyuma ni sawa na yale.

Angetangulizwa kwa mbele na mwendesha bodaboda, kuna wakati na mimi natamani kuwa dereva wa bodaboda ili nipakie wanawake tu.
 
Ahhhaa kumbe hiki tu ndio unachowaza. Umeharibu braza; unaponda na wakati huo huo unatamani ufanye hivyo.
kuna wakati na mimi natamani kuwa dereva wa bodaboda ili nipakie wanawake tu.
 
Ahhhaa kumbe hiki tu ndio unachowaza. Umeharibu braza; unaponda na wakati huo huo unatamani ufanye hivyo.

madereva wa boda boda wanafaidi sana mkuu, mimi wangu hawezi kupanda.
 
Weka hayo madhara basi

anhaa, huyajui eeeee? fanya hivi tafuta mwendesha bodaboda hala mwambie ampakie mkeo kwa mbele yeye akae nyuma yake, kisha njoo hapa utuambie ulivyojisikia.
 
kwa kuwa ni mfano tu basi haina shida...

kivipi mkuu, kwani mfano huwa ni uongo? wewe mwalimu alipokuwa anakufundisha na kukupa mifano ilikuwa ya uongo? mfano ndo hali halisi yenyewe.
 
mie nina mwaka wa 5 sasa napanda bodaboda kwa nyuma kwenda uko kijijini kwetu....lazma nipande asubuh na jioni....lakini iki unachosema sijawahi kukipata hata siku moja........
 
mie nina mwaka wa 5 sasa napanda bodaboda kwa nyuma kwenda uko kijijini kwetu....lazma nipande asubuh na jioni....lakini iki unachosema sijawahi kukipata hata siku moja........

Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.
 
Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.

sasa kwanini nianze kupanda hivyo .......? huoni kama nitamzuia dereva kuendesha vizuri mana nitakuwa nimembana....
 
JEKI kumbe ni mfano tu...? weka halisia sasa .....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bodaboda anakaaje nyuma ya abiria? Na yupi anaekuwa dereva?
 
kwa mfano! kwa mfano! kwa mfano! kwa mfano! kwa mfano!
 
Back
Top Bottom