Mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Jamani nishaurini.

Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c.

Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.

Nifanyeje mimi mwanaume.
AMESHANIACHA NIPO CNGLE SAIV
 
Na kweli bora ukubali tu usije ukapata ugonjwa wa moyo
 
Pole,be a man,jipange chukua hatua,ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo,japo inaumiza.
 
km we ni binti ni kawaida maana kumfuatilia mwanaume haifai kwa kuwa yeye ni mtafutaji na mishe zake zinampa oppirtunity nyingine kimaisha. ila km ww ni mwanaume harafu demu wako hataki umfuatilie hapo kuna tatizo labda kama kakuoa! za kuambiwa changanya na zako!
 
Me Mwanaume, Atakua Na Nn
 
mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.
 
Me Mwanaume, Atakua Na Nn

Aisee broo huyo hakufai hakuna mwanamke anayefaa kuwa mke akakwambie usimfatilie. labda cjui unamfuatiliaje... ila fanya usimfuatilie ile laiv muache na mambo yake fanya uchunguzi ule wa kimyakimya ukigundua kuna vitu anavifanya na havifai hupaswi kulazimisha mapenzi... tembea zako kwani umeshafunga ndoa?
 
Jamani nishaurini.

Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c. Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.

Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.

Nifanyeje. Mimi mwanaume.

Kwanza wewe bado mtoto mdogo, kwa nini usisubiri ukue uje upate binti wa hadhi yako?
 
mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.

Ni Kwel Usemayo Bt Mm Hua Nakuaga Kmya Sometimes, Then Nimegundua Ana Line Nyngne Ambayo Mm Cna No Na Anaitumia Je Hapo Vp
 
Na kweli bora ukubali tu usije ukapata ugonjwa wa moyo

kweli coz dalili za mvua ni mawingu.

Pole,be a man,jipange chukua hatua,ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo,japo inaumiza.
Tena huyo ni "experienced one" yaani toka nduki we kimbia, kimbia fasta ..toka nduki we kimbia.

Lakn Ana Uaminifu Huyu Kwel
mtu mwaminifu hawezi kukukata usijue baadhi ya nyendo zake, hii ndo sawa sawa na kuwa na mpenzi ambaye simu zake na computer kajaza nywila mwanzo mwisho kisha unaendelea kujiaminisha "i am the only one" , karagha baho...

mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.
Lakini vikwazo alivyo viweka mleta mada , hakika kuna kivuli kina tembea na huyo demu, jamaa amchunguze vema waweza kuta ni retired officer wa maeneo yetu yale ya kukesha mpaka kuchee.(though not necessary to be so, and i am standing to be corrected in my tentative"
 
Aisee broo huyo hakufai hakuna mwanamke anayefaa kuwa mke akakwambie usimfatilie. labda cjui unamfuatiliaje... ila fanya usimfuatilie ile laiv muache na mambo yake fanya uchunguzi ule wa kimyakimya ukigundua kuna vitu anavifanya na havifai hupaswi kulazimisha mapenzi... tembea zako kwani umeshafunga ndoa?

Kuna Wakat Inapta 5 Days Hatujacomunicate
 
Kimbia mkuu ... usilazimishe maji kupanda mlima.... maji hufata mkondo. yupo wako ambaye hutajuta hata kuwa nae na utajiuliza kwa nn hukukutana nae mapema.
 
Aisee broo huyo hakufai hakuna mwanamke anayefaa kuwa mke akakwambie usimfatilie. labda cjui unamfuatiliaje... ila fanya usimfuatilie ile laiv muache na mambo yake fanya uchunguzi ule wa kimyakimya ukigundua kuna vitu anavifanya na havifai hupaswi kulazimisha mapenzi... tembea zako kwani umeshafunga ndoa?

Hatujafunga Ndoa Wala Hatujatambulishana
 
Ni Kwel Usemayo Bt Mm Hua Nakuaga Kmya Sometimes, Then Nimegundua Ana Line Nyngne Ambayo Mm Cna No Na Anaitumia Je Hapo Vp

kwani mna mda gani kwenye mahusiano yenu? kama bado siyo mrefu give her time may be anahisi your not a right choice dont rush its will flow automatic and you will get what you wish to have dont push .. and if u ask ask politely way ....

pia yawezekana mlimtongoza wawili kwa wakati mmoja sasa mpo kwenye mchojo .. ni wazo pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom