Hatupaswi kudharau nguvu za wake zetu, wanatujua na kutufahamu vilivyo, ukiringia nguvu uwezo umaarufu na akili zako itakula kwako.
Ukijifanya mjuaji katika hayo yeye atakaa kimya ila akisusa...
Wasichana wengine wana lawama wakisikia boyfriend wake amemcheat atapiga kelele atamsuta."Umekosa nini mwanaume huridhiki,utamaliza nyama bucha ileile kwani mi sikupi si nakuuliza wewe hasidi...
Salaam ndugu zangu wana MMU.
Nimekuja hapa mbele yenu ili mnipe ushauri nipo kwenye hali ya sintofahamu maji yamezidi unga ugali naona unaenda kuwa mabuja.Hii inatokana na jana kumweleza mama...
Ijumaa iliyopita rafiki yangu mmoja alikuwa ameishaingia chumbani kulala. Kabla usingizi haujamchukua mkewe akaingia chumbani humokutoka bafuni alikokuwa akioga. Mara tu baadaya kuingia akatupa...
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.
Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na...
kuna haka katabia ka kusema kuwa nimemfumania baba fulani, mara ooh nimemfumania fulani na binti wa fulani.Ukweli ni kwamba mwanaume hafumanwi ila anakutwa.
Hii inamaanisha kuwa mwanaume ndio...
Katika mapenzi (romantic) Inatokea mtu kumpenda mtu mwengine katika mazingira ya utata na bila ya kutegemewa.
Sometimes inatokea mtu anakupenda but wewe uliependwa unaanza kujiuliza maswali...
Habari wakuu, kila mwanaume na mwanamke wana experience tofauti na kuridhishwa tofauti.
Je wewe unapendelea kufanya mapenzi yapi hasa katika hii list?
1. Quickie (Wale wa dakika chache au kuibia)...
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. Nahitaji mume kuanzia miaka 28 - 35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, kabila lolote, rangi yoyote, elimu kuanzia...
Kuna wanaume huwa wanakera sana,Unakuta ni mshikaji wako afu anajipendekeza kwa demu mpaka wanakuwa marafiki. Kibaya anakuja kukuambia-mwanangu nimepiga pale.Ukichunguza kumbe ni kamba tuu na...
Habari zenu wandugu. jana mdada kakuta picha (picha zinazotoka whatsapp na kubaki katika simu) ya uume halisi tena imepigwa huyo jamaa akiwa amelala chali nauume umesimama, umepigwa uume tu, na...
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please.
MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua.
DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby...
TUNDA LA AJABU.
Nimetulia mtini, nala tunda liso kokwa.
Laini shinda maini, ladha kuku wa kupakwa.
Chumvi nitake ya nini, nala bivu si kidakwa.
Naulinda mti wangu, unatunda la ajabu...
Ninampenzi wangu tunapendana lakini tatizo lake anahisia kali sana pale anapogusana na mtu hasa mwanaume atawakisalimiana kwa kushikana mikono mwili wake unasisimuka sana. Mfano kama nikitaka kudu...
Jamani kuna jamaa yangu alikuja kuomba ushauri yeye alioa akaishi na mke wake mwaka mmoja,baadae mke wake akaanza tabia za ajabu ajabu jamaa baada ya kulalamika kwa wazai wa mwanamke mambo anayo...
Jamani hivi nini kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja.
maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua wanawake tunakosea wapi.
Maoni yenu tafadhali.
Wana MMU.
Hapa nilipo saa tano hii mchumba wangu kachana condom ndani ya papuchi wakati tukiwa katika zoezi la kutafuta mtoto nina wasiwasi kweli kwa maana tulipima mara ya kwanza ila bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.