Jamani nyie wanaume hebu acheni visingizio basi, mwaka unapita ooh bado naweka mambo yangu sana wa pili huo nao bado naweka mambo sawa tatu haya wa nne khaa.
Ni mambo gani ayo yasoisha,alafu ayo...
Wadau poleni na mihangaiko ya maisha.
Kwa kifupi nilikuwa nadate na binti mmoja kabla hajahama kwenda mkoa mwingine, mara ya mwisho nimelala naye Jan 3 ya mwaka huu Jan 4 aliniambia yupo siku...
Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo cheap na huna misimamo wala...
Habari wakuu.
Upo na mwanamke kitandani unawaza mambo mia mbili kidogo.Unadaiwa kodi ya chumba ,mtoto anadaiwa ada,mchepuko unataka pesa,kazini nako hakueleweki muda wowote kinaweza kikanuka,una...
Hii inatokea sana haswa kwa wale wadada wenye makalio makubwa MTU utakuta kajipiga selfie ilimradi tu tako lake lionekane vizuri..Swali ni kwa wanajamvi wote haswa kwa wadada Wa humu MMU nn...
Mimi ni mwanaume halisi natafuta mke wa kuoa mwenye kazi yake,nitamheshimu nakutii kwa chochote atakacho nitafanya.Ila akubali kunitafutia kazi kwani sija ajiriwa bado.Nitashukuru sana sina...
Mara nyingi nimekua nikisikia hili neno msichana mwenyewe wa uswazi, maana yake nini hasa au kuna vigezo gani vya msichana kuwa wa uswazi au kuku wa kienyeji.
Msaada jamani.
Nilikuwa nakunywa bia yeye hakuwa ameniona hadi anafika na kukaa ktk ile bar,alikaa pembeni ya ile bar kabisa,dk 5 baadae tukawa tumekutanisha macho yetu,aliinuka kutoka pale alipokuwa amekaa na...
wakuu,
hebu pitieni pitieni ukurasa wa huyu binti huko facebook,then muangalie picha anazozibandika,then muangalie bandiko lake hili hapa:
Fiderine Iranga JAMA jama nimechoka kutongozwa humu...
HOW TO MAKE A WOMAN STICK TO YOU LIKE A TICK AND BEG FOR SEX
1• Always be the solution to her problems
2• If you send her to do shopping never ask for ask
for change...
Kuna rafiki yangu wa damu kabisa wandugu ana mchumba wake ambaye anampenda sana,huyu rafiki yangu anakaa mitaa ya mbali ya mimi ninapoishi ila tunaonanaga pale inapo bidii na rafiki yangu huyu...
Hivi wanajamvi ukiwa na mwanamke asiyesikia kiburi anatukana na anayekosa na baada ya kosa anaomba msamaha kwa kunyenyekea sana na baada ya wiki au mwezi anarudia kosa lile lile au linalofanana na...
Ama kweli nimeamini watanzania hatupendi kuona mtu akipiga hatua moja kwenda nyingine, tofauti na wenzetu hawa ngozi nyeupe ambao wao kupigana tafu ni mambo ya kawaida sana katika life cycle yao...
Habari wanajamvi.
Naomba ushauri nmekuwa na mchumba wangu takriban miaka minne lakin hatukuwa kufanya sex sababu ya umbali tulokuwa nao yeye yuko chuo ni mimi chuo baadae mimi nikamaliza chuo...
Nataka mchumba kama yupo anayetafuta mume wa ndoa njoo hapa.sifa awe mrefu kiasi mweupe kiasi na mwenyeji wa pwani pia awe MUISLAM.
Umri kuanzia 28 mpaka 32.sihitaji msomi sana.
Wanajamvi yapata miaka minne iliyopita nilipendana na binti mrembo mwenye asili ya Burundi,binti huyu alinipenda kweli kweli siku moja akaja kunitembelea ndo nilikuwa nimeanza kazi alisikitika...
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.