Kwenu wadada wenzangu

Kwenu wadada wenzangu

mama la mama

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
304
Reaction score
152
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
 
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!

Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?

Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.

THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.

From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
 
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!

Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?

Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa
 
Huwa nawaambiea washkaji zangu kwa uzoefu wangu siku hizi...unaweza kuona mwanamke mzuri...kajaza vizur....umbo zuri9(hips safii)..boobs si mchezo..lakini ukikaa nae dk tano tu...ukicheki uelewa wa mambo na attitude una kuta HAMNA kitu.....very poor...ndo tatizo naloona siku hizi....ukikaa ukiongea nae unakuta bure kabisa....
 
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji

mama umeongea vizuri lakini wapo watakaoona hamna ulichoongea sababu wengi hawapendi kuambiwa ukweli wakiambiwa wanaona kuwa ananionea wivu mkubwa kumbe unampa kitu cha maana
heri wewe unayelitambua hilo
 
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima,
sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea
sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?

Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?
 
Waambie mama la mama maana wengine wamebakia kuringa kwa ajiliya maumbile yenye mvuto ila kama utamfanya kuwa mke hana cha kuchangia kuongeza kipato cha familia zaidi ya sura na umbo lake zuri, maana wengine shule hawajajaliwa, hana mradi wowote zidi ya kuwa tegemezi.
 
Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa

1. WALIOOLEWA BAADA YA KUTEMBEA NA MTAA MZIMA UNALIZUNGUMZIAJE???????????????

2. WANAOJIRAHISI NDANI YA NDOA JE?

It all counts down to PRINCIPLES OF A WOMAN! Whether anazo au hana! MARRAGE DOESNT CHANGE ANYTHING!!!!!!!! NEVER WILL!
 
Waambie mama la mama maana wengine wamebakia kuringa kwa ajiliya maumbile yenye mvuto ila kama utamfanya kuwa mke hana cha kuchangia kuongeza kipato cha familia zaidi ya sura na umbo lake zuri, maana wengine shule hawajajaliwa, hana mradi wowote zidi ya kuwa tegemezi.

Kuna vitu UNACHANGANYA! SHULE SIO KIPATO ASILANIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!

Kuna watu tunakaribia ku apply PHD ila ndo TUNASHNDA TUNAANGALI TELEMUNDO my heart beats for Lola, tunaishi mjini kwa MAHEABU MAKALI na HISANI NENE za wadau! Jitu lina MASTERS linaagiza hela NYUMBANI KWA DADY NA MAMY!

Ila kuna ma FIGHTER STD 7 unapanga FOLLENI kwao! Wako vizuri balaaaa! Wamejipanga! kuna jimama mtaani kwetu lina saluni tu linapamba maharusi, lowest income per week ni 1M. wakati mie kazini kwangu kabla sijasusa kufanya kazi yeyote sijui nitaufikia lini huo mshahara kwa MWEZI MZIMA!!!

SO KUTOENDA SHULE HAIGUARANTEE UTAKUW TEGEMEZI, NA KWENDA SHULE SIO KUTOKA KIMAISHA! MJINI MIPANGO!
 
Godness kina watu humu ndani rly are wise its very true marriage doesnt change evrythn:thumbup:
 
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?

Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?

CURIOSITY KILLED THE CAT! Mada inasema madada wenzangu HOW DID YOU PEEP kuona tunaongelea nini? I LIKE WHERE YOU ARE GOING WITH THE DEBATE!!!!!!!!!!
 
Huwa nawaambiea washkaji zangu kwa uzoefu wangu siku hizi...unaweza kuona mwanamke mzuri...kajaza vizur....umbo zuri9(hips safii)..boobs si mchezo..lakini ukikaa nae dk tano tu...ukicheki uelewa wa mambo na attitude una kuta HAMNA kitu.....very poor...ndo tatizo naloona siku hizi....ukikaa ukiongea nae unakuta bure kabisa....

Mmmh mbona wazee with walioa mama zetu hata kusoma hawajui na wakaraise family fresh! Kama unaona hana upeo msaidie just muexpose kwenye ulimwengu unaoutaka
 
....upeo naomaanisha sio wa kujua vitu...yaani upeo wa maisha....mama zetu walikua na upeo mzuri wa maisha( japo nyakati zimebadilika)....yaani unaweza kukutana na mtu...yeye anachukulia maisha kirahisi rahisi tu....kichwani kajaza kuhongwa hongwa tu....kutongozwa tongozwa tu....(sijui nikueleweshe vipi).....lakini ndo type hizo...yaani maisha HALISI anayaangalia kwa mtazamo tofauti sana....mpaka unabaki unasikitika...kuna wengine ukiwaambia unamfungua akili...kuna wengine ujuajii mwingi...wa maisha ya kujifunza facebook, nstagram na jf....
 
Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa
Mimi huwa nawashauri wakina dada...kama kuna kitu wangefanya kwa maisha yao...ni kuipa thamani kubwa PAPUCHI zao...sema wengi wanaziachia mno....wanajirahisiha sana...sana yaani.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom