Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,326
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina.

Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri.

Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.
 
Uoga wako inawezekana umekuepusha na mengi.kama umri wa kuoa umefika nakushauri hao hao wa kawaida ndio wenyewe pamoja na sifa nyingine.kubali yaishe usije ukajiingiza kwenye matatizo wanayokimbia wenzio.
 
Wasikudanganye wenzio usijejutia,kwani nini,love is a risk,..awe mzur au mbaya anweza fanya lolote,atleast ukiwa na mzuri hutajilaumu,roho yako itasuuzika kila ukimwona,
,confidence is learnt,jifunze,utaweza,mwanaume confidence jamaniii....we si unajiamini mtanashati??sasa inakuwaje warembo unawaacha..
Unaweza pata mzuriii na akawa wife material,NEVER SETTLE FOR LESS!
 
Uoga wako inawezekana umekuepusha na mengi.kama umri wa kuoa umefika nakushauri hao hao wa kawaida ndio wenyewe pamoja na sifa nyingine.kubali yaishe usije ukajiingiza kwenye matatizo wanayokimbia wenzio.

matatizo gani!!!!!!!!!!!!!!
 
Daah kwa jinsi unavyosema una "hadhi" halafu useme bado hujakutana na mademu wakali? Napata wasiwasi. Halafu sikuhizi kwani kuna maneno mengi, saundi sijui PINI yenye vina. Vitendo tu mambo mtelezo ukianza maneno mengi ndo unakwama
 
Kizuri uzurike si unajua, ila mi nafkiri ni uwoga wako tu, they are piece of cake, leo jaribu huyo jirani yenu uniambie..
 
mkuu njoo nikupe tutorial on how to deal with 'em pretty chicks!
 
Tulizana kijana, inaonekana mdomo wako umejazwa zege, au huna pesa ya kumiliki warembo.
Kwa ushauri tu wanawake wengi warembo na wazuri huwa hawayajui mambo ya kitandani, ni wavivu sana, na hawapendi kugegedwa sana. wao wanapenda mapenzi kama yale ya kwenye nyimbo za wasanii.

Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.
 
tafuta hela watakuja wenyewe tu... wala hutakua na haja ya kuongea sana...
 
Tulizana kijana, inaonekana mdomo wako umejazwa zege, au huna pesa ya kumiliki warembo.
Kwa ushauri tu wanawake wengi warembo na wazuri huwa hawayajui mambo ya kitandani, ni wavivu sana, na hawapendi kugegedwa sana. wao wanapenda mapenzi kama yale ya kwenye nyimbo za wasanii.

heheh,umenchekesha apo kwny kugegeda,..tugegedane sana kwan mashindano..nikongoroe shape ili iweje..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom