Wanawake wazuri ni vimeo chumbani?

Wanawake wazuri ni vimeo chumbani?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...
 
duh!!! Wazuri wana kazi, ila wanasemaga ukiona.demu katulia jua game lako la mchana. Sosi nimemsahau.
 
lete picha kama tatu za mfano...maana uzuri ni relative term...ndio maana Lupita naye mzuri...
 
Mmmhhh me mzuri na kitandani shem wako mpaka fua linambana.Hapana chezea utamu
 
wanawake wazuri toka kwenye usichana wao wanakuwa marketable sana. Mara nyingi watu wanaamuaga kuwa nae kwa sababu tu ya ule uzuri wao. Wale sura ngumu na shapeless huwa wanajtuma sana kama slaa yao pekee ya kuwavutia wenza wao maana huko kwingne ni ziro. So hata ukiwaoa huwa wako fit sana na maexperience
 
...hakika hiki ni kizazi cha nyoka,imeandikwa...!
 
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.
 
aisee kuna kanyaturu mix kaarabu kamoja kudaadeki kazuri hadi kero! Kwa kitanda hadi unalia! Yule mtoto simsahau. Tatizo neno hapana kwake halipo kabisa. Kila mtu akiomba kanakubali dah, iliniuma sana lakini ndio hivyo tena. Na kana akili za darasani sana!

Mimi from my experience sio kweli kuwa wazuri hawajitumi sema nafikiri wanene ndio hawajitumi.
Ila topic zingine hata siamini nimechagia. hehe anyways ni weekend.
 
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.

Usije kujisahau siku unakuja kuweka thread unatafuta mchumba au mumeo anatoka nje
kina Tyta watakukumbusha haya...

cc Ustaadh Swalehe ....
 
Last edited by a moderator:
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...

We unawapata wa wapi? Wenzio tulienda Muheza! Watoto wazuri nje hadi ndani
 
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.

Anakuhonga wewe au wewe ndiye unamuhonga? Kama wewe ndiye muhongaji basi ujue unaibiwa kiulainiii....!!
 
Usije kujisahau siku unakuja kuweka thread unatafuta mchumba au mumeo anatoka nje
kina Tyta watakukumbusha haya...

cc Ustaadh Swalehe ....

We mbea! Mchumba si nilishamtafuta nikampata! Hapa kila siku naorodhesha mistari tu nije kutoa mrejesho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom