Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadau. Tunajamaa yetu amekuwa na tabia ya kutongoza tongoza ovyo hangaliaa sura wala tabia wala mazungira.Kutongoza tongoza kwake watu siyo issue, issue nikuwa anatangoza wake za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke...
15 Reactions
174 Replies
12K Views
Habari za saa hizi waungwana. Leo ningependa tujifunze na tuongelee suala la emotional abuse.Hili ni jambo ambalo watu wengi wanapitia inawezekana wengine wanatambua hilo na wengine hawalitambui...
15 Reactions
56 Replies
6K Views
I'm a guy and I love the looks of a girl's breasts and butt, but I can't stand looking at the vagina! The labia, smell & hairy! I'm talking purely visual by the way, despite the fact that looking...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Ni ndugu yake na pia ni dada yake mkubwa. Baba yao alimuoa mama yao akiwa na tayari na mtoto wa kike ila alikua mdogo sana hivo baba alikubali kumlea mtoto hivo mtoto katika kukua kwake alijua...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Amani ya Mungu (yoyote unaemuabudu wewe) iwe rohoni mwenu. Nawatakia mfungo mwema wa kwaresmaaa. FIRED FRIEND Ilikuwa ijumaa asubuhi kama saa 3 mdau kanipigia anavodai kaacha kazi but 99% wanao...
24 Reactions
187 Replies
18K Views
Kifup nampenda sana tena zaid ya sana lkn he don't luv me end I don't know wat to do.. Help me plzz
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna hii hali iliyozoeleka kwa watu wanaoachana kuanza kusemana vibaya na kuharibiana public image lately Jay Dee VS Habash Hivi watu hawawezi kutoka katika mahusiano na kukaa kimya,what is to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna mdada hapa amechanganyikiwa eti anampenda sana huyo mume wa mtu mpaka ameanza kama kuchanganyikiwa.Anataka amuone kila wakati. Usiku anashindwa kupata usingizi, anashindwa kufanya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala...
0 Reactions
114 Replies
16K Views
UNAPITISHWA KWENYE MOTO ILI UWE IMARA NA THAMANI YAKO IONGEZEKE KATIKA SAFARI YA KUELEKEA KWENYE HATIMA YAKO Ili dhahabu iweze kung'aa na kuwa na thamani zaidi lazima ichomwe moto, ipitishwe...
7 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wanajamvi. Hii ni mara ya kwanza kuleta uzi humu mara nyingi hua msomaji tu thread za wenzangu.Nisiwachoshe wadungu by the way nilikua na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ikawa zaidi...
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Wanadamu tumeumbwa kuwa na matamanio, kutamani kufikia ndoto yako. Lakini kwenda kufikia kwenye ndoto lazima kunavitu hapa katikati lazima vifanyike. Huwezi ukajikuta tu umefikia kile...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana Jamii forums. Mimi ni mwanaume,naish Dar es salaam nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi: Elimu degree ya pili,mrefu kiasi,mnene kiasi,rangi yoyote,anaeishi Tanzania, umri...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mwenye umbo lakupendeza, mimi niko Dar es salaam Kinondoni,ni mweusi 168.60 cm tall. Ni pm nitakupatia mawasiliano yangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Marriage is when a man loses his bachelors degree and a woman gets her masters au ya kwako we inasemaje?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiona yanayotokea kwingine ndio unajifunza kuappreciate nchi yako. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania. HARARE - A domestic worker has gone on trial in Zimbabwe for allegedly killing a...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Ama kwa hakika siku hizi za utandawazi kumpata binti atakaye kuwa mke ni kazi sana kama Ngamia kuingia tundu la sindano. Baada ya kufikiri sana nimegundua kuwa ile shule ya wasichana wa Kimasai...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wana Jamii forums Kuna jambo nimekuwa nikifikiria sana ni kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya walemavu na watu wa kawaida,niliwahi kuwa na mwalimu wangu mmoja alikuwa ni kilema,alipata...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Habari za leo ndugu. Hili suala limenifikilisha sana hadi kupelekea niandike huu ujumbe hapa na kupata mawazo tofauti tofauti. Hivi hili suala la wazazi kumkataa mchumba wa mtoto wao pasipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom