Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mimi nahitaji Mwanamke wa kuoa awe na umri wa miaka 28-30 Mwenye hitaji 0714679616
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Utafiti umeonyesha kwamba'' ni ndoa tu ndio shule ngumu sana kufaulu kuliko shule zote, na ndio maana unapewa cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae. La sivyo ingeanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajanvi. Kuna vitu vingi sana vya kufanya ili kudumisha ama kuhuisha mahusiano, hasa hasa mapenzi na kitu kizuri ni kuwa utatumia ile style huku mjini tunasema "flow with the beats"...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
remove a ring that is stuck on your finger VIDEO http://www.dailymail.co.uk/video/virals/video-1100540/Amazing-trick-remove-ring-stuck-finger.html
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sasa toka wife awe away masomoni. Hali yangu ni shwari tu (Not that I am cheating or anything.)Issue inayonitatiza ni kwamba, tangu muda mchache baada ya yeye kuwa huko akawa anapiga...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
These are six unusual facts about sex which you might haven't heard them before 1.Complete sexual inactivity may cause penis size reduction.So, if you dont use it, you might actually loose it. (...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamani mimi ninamkosi gani nitakayempenda anakuwa muongo mlaghai, yaani mpaka nimekata tamaa yakuja kuoa nina miaka 26. Msaada wenzangu eti nifanyaje ili niweze kumpata aliye sahihi maana...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wana JF! Plz follow this scenario & then give me ur advice. Mnamo mwezi wa 10 - 2011, nikiwa masomoni, nilimuona bint 1 na nikaanza kumpenda. Mwezi wa 4 - 2012 nikamuaproach, alinikubalia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mpenzi Habari za huko ulipo ? Najua wewe ni mzima sana , maisha yako ni mazuri tu , hata kama yanautata kidogo nafikiri unajitahidi kuyafanya yawe mazuri zaidi na kama yanatetereka naamini...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi sitaki kusema mengi jamani ila kila mtu anajua mapenzi yanavyoumiza, hebu tupeane njia za kuinjoy mapenzi bila stress.Labda kuna njia ya kuweza kuzuia maumivi jamani, kwa yeyote anayefahamu...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Habari wanajamvi Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29, niliehitimu chuo kikuu mwaka jana ambae sina ajira,pia natafuta mke wa kuoa ambaye atakua tayari kusaidiana wakati wa shida na raha.Ewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wanaukumbi.Natumai sote ni wazima, wagonjwa nawapa pole na kuwaombea ponya ya haraka. Nilipenda kupata mawazo yenu hivi wadada wanapotusaliti huwa wanatufikiria sisi wajinga au vipi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi juzi juzi baada ya kufunga chuo nilipata kazi kidogo ofisi flan hivi,kama ya wiki mbili hivi.Hii ilipelekea kujuana na wafanyakazi wa ofisini hapo.Picha linaanza kunadada mmoja huwa anapitiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mapenzi raha jamani, ukiwa naye mmoja mkitembea ufukweni, mkigusana mara mojamkitembeleana kusini, nyingi si mara moja genye ni kugenyezana:A S kiss:, tafuta wako utulie. Asanteni
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Habari gani wana MMU Kuna jambo limenikera sio mbaya mkalijuwa kama ni kosa au ni sahihi tujifunze kutokana na tukio Kuna jamaa zangu mtu na demu wake nakunywaga kila siku, ila tatizo wakishaanza...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Jamani mada nzito hii ya leo, kwaresma hii muepusheni shaitwani sio lazima usome huu uzi.) It always stary with a...
17 Reactions
175 Replies
25K Views
Habari wakuu. Naomba kuuliza hili swala kuhusu kuangalia picha za pono,Hivi kwanini wanawake wengi wamekuwa hawapendi kuangalia picha za pono.Naomba hili swali lijibiwe na wakina dada na pia...
1 Reactions
66 Replies
22K Views
Mimi ni mkazi wa Ubungo-Dar es salaam kutokana na majukumu mengi niliyonayo nakosa hadi muda wa kutafuta mwanamke hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuwanae na nikiridhika nae basi nitamuoa kabisa,umri...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanajukwaa naja kwenu kwa upole sana kuomba msaada.Nina mdogo wangu anatafuta mke wa kuoa ana kazi yake inamtosheleza ila yupo Nairobi. Yupo disparate on this na amenishirikisha nimsaidie katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. Mimi naudhika jamani kama humu ndani kuna wazazi samahani sana, ila mnakosea sana kulazimisha mabinti zenu kuolewa na aina ya kabila fulani. Kwani mtu anaoa kabila au...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…