Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu jamani, Mie nahisi stress zitanitoa roho, toka my boy kufariki nahisi sipo sawa kabisa, coz kila anaekuja kwangu naona mizinguo tu, sijui nifanye nini niwe na amani na furaha kama zamani.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilikuwa napiga story na watu fulani wanasema wazazi wengine wenye watoto formfour wakirudi mashuleni wanapewaga dawa za majira ama kwakujua amakutokujua kuzuia mimba. Je hii ni suluhisho?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sevyn Streeter Doesn’t Think ‘No’ Is A Fair Option When Your Man Wants Sex shar4 Music News By: Cook T.P. / April 2, 2015...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Unakuta mwanamke 1. Kucha sio zake. 2. Nywele sio zake. 3. Kope sio zake. 4. Midomo sio rangi yake. 5. Ngozi sio ile halisi ya kwake. 6. Wengine makalio si ya kwake. 7. Maziwa sio yale halisi ya...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwanza natanguliza shukran zangu kwa mimi kuwa mgeni humu na kujiunga nanyi wenzangu na nimejiunga humu baada ya kugundua kuwa pana faida kubwa kuliko hasara. nahitaji mwanamke ambaye atakuwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Heri ya pasaka wandugu, Hivi huu ulimwengu wa kimahusiano siku hizi mbona kama umepoteza dira sana,Yani unakuta mtu anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu mmoja ila baada ya wiki kadhaa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukiona uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya,ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi...
13 Reactions
43 Replies
6K Views
Mambo vipi wataalamu wa mapenzi, Naomba mnipe mbinu za kuishi na galfriend wangu bila kukwazana nae, udhaifu wangu mkubwa mimi ni mtu mwenye hasira za haraka na mwenye kupenda kulalamika hata kwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mi binafsi hiki kitu sikipendi kabisa, kitendo cha wazazi wa mwanamke kuwapa nyumba ama kiwanja kabla ya ndoa au siku ya ndoa kama zawadi... mi hiki kitu sitaki kabisa kije nitokea maishani naona...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jaman nimerud nilipokulia kwa lengo la kujumuika na familia sikukuu. Ila nimeshangazwa sana kukuta mabinti wengi nilio soma nao na wengine kuwaacha kiumli % kubwa wamezalishwa bila kuolewa na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimekuja mkoa kusalimia nyumba ni kidogo nikakuta kuna msichana wa kazi chapakazi hadi raha nikampenda sana kwa Tabia yake ya kuchapa kazi nakujielewa yupo kazini hadi nikawa natamani nipate...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nahitaji msichana wa kubadilishana mawazo kama upo serious nipm sichagui kabila wala dini.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unapokuwa na msichana katika mahusiano akionyesha mapenzi yake ya dhati juu yako apo awali,halafu ghafla anaanza kubadili tabia isivyo kawaida. Kwa wale wenye experience juu ya hali hii...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Hapa naongelea ukhanithi wa kuzaliwa nao na si ule wa kupata ukubwani kutokana na sababu mbalimbali kama maradhi ajali na ulemavu Pamoja na kuwepo mabandiko mbalimbali kuhusu hili tatizo baya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi, Kiukweli mimi nawapa pole za mizunguko ya siku na nawapa pole na changamoto za maisha ya mahusiano na changamoto za mabosi kwa mlioajiriwa,hii mada imeshadiscusiwa humu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini waungwana Dada yangu kaolewa 2012,mumewe ndio kaajiriwa hivi juzi yupo kozi Monduli jamani mkaka malaya hatarii.Katutongoza shemeji zake wotee na kipindi yupo JKT musoma kashatutumia...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Ni binti ambaye wazazi wake walishafarik kipindi kirefu kilichopita, ila wazaz wake enzi za uhai wao walikuwa hawaelewani hadi kufikia kuachana, baada ya mama yake kufarik binti alilelewa na bibi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau, Joka jinga ni rafiki ambae tumekua nae toka utoto,alikuwa mtundu sana akiwa mdogo kwenye miaka 11 aliwahi kufanya mapenzi na mtoto wa bibi yake mdogo, mtoto wa mdogo wake na bibi mzaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu, naombeni ushauri, maana hii sasa imekuwa too much, sijui ni baati mbaya au nzuri, maana wapenzi wa marafiki zangu, huwa mwishowe huishia kuwa wapenzi wangu, maana mpaka sasa nina mpenzi wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hongera sana wanawake wetu,kuwa ndani ya kumi bora Afrika kwa uzuri si haba.Habari hii inapatikna gazeti la mwananchi la jumapili ya tarehe 22.marchi 2015 limenukuu toka mtandao wa Ofrojuju...
1 Reactions
86 Replies
21K Views
Back
Top Bottom