Mimi ni mwanamke wa miaka 28,nilipendana na mpenzi wangu tukapata mtoto kabla ya ndoa na baada ya muda tukafunga ndoa,Sitaisahau siku ya ndoa yangu kwani ilikua siku mbaya maishani mwangu,upande...
Yaani nikikutagana nao barabarani lazima nigeuke.Sipendi mabonge, napenda awe mwembamba ambae hana makalio,mzuri,mrefu na mweupe.Ingawa demu wangu ana sifa zingine isipokuwa rangi inanifanya niwe...
Wadau habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 31, nimepima afya na kukutwa nina maambukizi ya VVU.Natafuta mke wa kuoa mwenye maambukizi kama mm ili tuishi kwa matumaini.
Sina masihara...
Kwa madhumuni ya thread hii, neno askari lina maana ya polisi, wanajeshi, zima moto, uhamiaji, askari magereza pamoja na migambo.
______________
Kiukweli maaskari wa kike wanakuwa wapweke sana. Ni...
Habari wana Jukwaa,
Siku zote huwa naamini kujipenda kwanza ndio hasa kunakopelekea mtu kujiamini na hata pia watu wengine watakuheshimu na kukupenda baada ya kugundua unajijali.
Sio siri swala...
Salaam wana JF,
Nina tatizo ninapoingia kwenye mahusiano na mwanamke huwa siwezi kuachana nae na wala yeye hatoweza kuniacha, tunaweza potezana hata miaka mitano, lakini siku tukikutana lazima...
Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa...
Alizalishwa na mme wa mtu, madai yake alimdanganya kuwa hana mke so alimwahidi kumuoa.Baada ya kumzalisha jamaa akaanza kupunguza mawasiliano kidogo kidogo, ila akawa anamtumia vimatumizi vya hapa...
Kwa hili nadhani wanaume wenzangu mtanisupport.Wasichana na wanawake walio wengi sikuhzi kwenye mchezo wa wakubwa hawajishughulishi kabisa yani mwanzo mwsho ye yupo tuuu kama doli la michelini...
Sihitaji kujua hali yako,Uliponipigia Simu na kunitajia hii ID yangu ndiyo kumenisukuma kuandika haya.
Nilikutana na wewe ukipata dinner kwenye Chinese restaurant Barabara ya samora ukiwa mwaka...
Habari wanaJf,
Mimi kuna tabia ambayo nimeshindwa kuilewa kwa kina inayohusu hawa dada zetu kupenda watu wenye umri mkubwa zaidi, vijana pia wa kiume wameanza kuingia katika mkumbo huu wa...
Jamaa yangu mmoja wa karibu (jina nalihifadhi) yamemkuta. Ni mfanya biashara wa vifaa na vitu vya electronic, alianza uhusiana na binti mmoja wakati yuko secondary olevel, na kuanza kumwezesha...
Ndugu zangu wanajukwaa habari zenu!!!!
jamani,ninamwaka mmoja mbele au miwili najipanga kuoa ila changamoto ipo hapa...kuna binti nilimpenda na ninampenda sana na kama angekubari basi angekuwa...
Hbr wanaJF
Huku duniani kuna mambo xn hasa ktk tasnia ya mapenz na mahusiano hasa ktk enz za kizaz hiki cha dot com.mapenz hayana tena guarantee,yaani leo una exist na fulan kesho umeperish na...
Kama baba angekuwa baba bora kwa watoto wake na mume mzuri kwa mke wake, mama angekuwa mama bora kwa watoto na mke bora kwa mume wake.
Watoto wangeangalia wazazi na kutamani nao kuishi na kuwa na...
Jamani nisaidieni kunipa ushauri,
Kila nikitongoza mwanamke akinikataa badae anakuja kugundulika na maambukizi ya VVU.Imenitokea kwa mabinti kama 7 nilio watongoza wakanikataa nakunitupia maneno...
South African doctors have confirmed that they performed the world's first successful penis transplant, three months after conducting the ground-breaking operation.
The 21-year-old patient had...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.