Msiwaumize mnaowapenda jamani

Msiwaumize mnaowapenda jamani

x-pel

Senior Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
163
Reaction score
59
Habari zenu wana jamvi,

Kiukweli mimi nawapa pole za mizunguko ya siku na nawapa pole na changamoto za maisha ya mahusiano na changamoto za mabosi kwa mlioajiriwa,hii mada imeshadiscusiwa humu nda mara nyinyi na lakini naomba nilete maisha haya kwenu! Iimekuwa kama fashion kusalitiana siki hizi jamani sijui tatizo ni nini,haya ni maisha halisi ya huyu wangu.

Hawa vijana wenzangu walianza mahusiano nikiona na kijana wa kiume huyu aliinekana sana mwaminifu na kumsuhi kijana mwenzie wa kike atulie ili waje wawe na familia bora katika maisha yao ya ndoa.Katika mwaka mmoja wa mahusiano hamna hata dalilu ya kucheat iliyoonekanika.

Lakini kiukweli huyo kijana wa kiume alikuwa na mchepuko wake wa nguvu kilande cha bidada wale waliokwisha kukata tamaa ya kuolewa but hawakuwa na future,mara nyingine kijana wa kike akakuta sms za mwanamke kwenye simu na kumuuliza alikataa kata kata.

Kumbe ulikuwa mchepuko no.2 huyo wa kwenye sms za kwenye simu kiukweli yule bi shot a.k.a.mchepuko no 2 ukaanza kumpigia simu huyu bint wa kike kumtukana from no where.Let kijana wa kiume awe Y na wa kike X ili kupunguza maneno.Baada ya mchepuko no.2 kumpigia X yaan x wala hakuwa anaelewa tatizo ni nini na ukiangalia X hana maneno mengi zaidi ya kulia na kuwa na hasira nyungi Y alitumia akili nyingi sana kumwonesha kuwa mchepuko no.2 ulikuwa unamtaka na hana ussue naye.

Bas X alimpenda sana Y wakaendelea kama kawaida lakin X alifuatilia chinichini kuhusu huo mchepuko na kugundua kweli alikuwa mchepuko but Y alikataa na x ikabidi awe mpole.Wakati huo huo Y anamwambua X jitunze usimpe mtu hata sikumoja maana saivi kuna maradhi mengi so tujitunze.

Kiukweli X alikuwa msikivu mnoo na mstaarabu mpaka marafiki wa Y wakawa wanamsufia kuwa amepata mwanamke maana hakuwa na gharama hata kidogo japo Y alikuwa na kazi ya maana mnoo take home 2m+ cha kushangaza kwa kipindi chote cha 3yrz+ Y hakuwai hata kumtoa out X wala shopping ya even 50 thousand X alikuwa na kipato cha kawaida cha hela ya kula but ni mtu wa kusave mnoo.

Namaanisha mnoo jamani! yaani katika yote hayo kumbe Y ana michepuko mingine kibao ambayo pia X aliitaka na alivyouliza alikataliwa na kuambiwa siyo ukwel so X aligundua michepuko mitano japo mingine hakuijua kabisa.Sasa cha ajabu huyu Y alikuwa kila mchepuko wake anaupa background ya X na kusema mimi ni wa kwanza nitamuoa.

Na nampenda sana plus anafanya wapi kazi inshort ni Cv nzima ya X aliitoa kwa mchepuko yake hata x akisafiri au likizo mchepuko unapewa taarifa! kweli Mungu si athumani sasa yule mchepuko no moja kumbe ule ndio mchepuko parmanent na mpaka hivi hapa Mungu kawajalia kabinti.

X aligundua hiyo movie ya ujauzito na kila akiuliza Y anakataa kabisa Mungu alivomkubwa X alienda mkoani kikazi for 4 month!kurudi alipamba sms kwenye simu mchepuko umetuma "mtoto anaumwa uje na dawa "Basi jamaa alizidi kukana baadae X alipandisha hasira za kimasai na Y ailibidi aseme ni kweli nina kwani unataka nini?

Kama kawaida baada ya ugomvi mkubwa X na busara zake akamwambie naomba iwe mwisho wewe lea familia mimi siwezi tena kuendelea na wewe maana mchepuko wako ni wazamani toka tukiwa na mahusiano ya miezi mitano saivi 3yrz plus.Sasa Y analia kiukweli anaomba X amsamehe waoane.

Kwani walikuwa wanajulikanika mpaka kwa wazazi na walipanga kufunga ndoa mwaka huu X amekataa na hataki kwani amuemia sana baada ya kugundua alikuwa kwenye mtandao wa ngono!yaani analia kwa uchungu mnoo kwanini Y Aliamua kufanya yote hayo?

Hajui kosa na kila akimuuliza y, y analia tu akuomba msamaha! kweli kazaa na bidada/jimama kwani kamzidi Y kiumri na ni kwamba ni mtu na hela zake pia X analia hajui cha kufanya na lakini na anajutia muda wake Iv wanaume mna nini? Maana X ni mzuri mrefu shingo ya twigwa well curved mzuri na natural beuty,huyu jimama ni manyama uzembe natamani niweke hata picha but siwezi kuweka!

Cha kushangaza Y anataka amuoe X very soon na marafik wa Y wanadirik kumwambia X usaliti ni tabia za wanaume wengi mara ni ujana tu msamehe atarekebushika maneno kibao Mimi kiukweli nimemwambia X mwanaume kakudanganya 3yrz plus ukaingie naye kwenye ndio kisa nini? Nimemwambie atupe kule ni mawazo yangu.

Nawasilisha kwenu kwa majadiliano jamani.Naombeni ushauri wa busara kwa hili.

Karibuni
 
Kama inanihusu ivi kwa mbaaaaaliii ila kwenye mshahara 2million kuzaa na mchepuko na mke mrefu apo ndo nimejiona sio mimi.
 
Kweli wanawake wakati mwingine mwalimu wetu kipofu. Sasa ushahuri wa nn wakati mtu kasalitiwa na jamaa ana mtoto kwanini asiachane nae kwani mwanaume peke yake? Ana uhakika gani kama kwenye ndoa atakuwa muaminifu. Je atavumilia mchepuko ukipiga simu usiku kwa mumewe kama mtoto anaumwa?
 
Mie hasa kumpigia mwanamke mwenzangu simu nigombane nae haiwi wala haitakua,na mungu aninusuru,sio kosa lake,kama nna yakyeekebisha ntarekebisha na mume/mwanamme ikishindikana naiwe basi.......
 
faida ya mjinga ni kuumia, kosa kubwa katika maisha kushirikisha shida zako katika kufanya maamuzi, na udhaifu mkubwa katika mahusiano kuweka akili pembeni wakati wote na kutumia hisia za kujilazimisha na kujihurumisha katika kufanya maamuzi.

ni kawaida mwanaume akipata nafasi ya kuongea atajihurumisha, atajinyongesha, atajipirtoni lakini baadae kwenye matendo ataendelea na tabia zake. hii ni kwa sababu mwanaume mara nyingi utumia akili na tricks kumaliza matatizo yake na mwanamke anatumia moyo na anashirikisha shida zake.

MJINGA ATAUMIA HADI ATAPOTAMBUA CHANZO CHA MAUMIVU NA KUBADILI NJIA, WAPO WAJINGA BAADAE KANAZALIWA KAUPUMBAFU HAKIKA WATAUMIA KATIKA MAISHA YAO YOTE. na mwisho atakufa kwa ukimwi au pressure.
 
  • Thanks
Reactions: naa

Mchuja nafaka kweli umeongea point ...ni ukwel kabisa Y alitumia trick na akil zake kumpoza X ..wakati wa maswaibu ya michepuko yake ilipojitogeza....

Kazi ipo kwa kweli usaliti imekuwa fashion ili mradi tu usikamatwe ndo maneno ta vijana wengi mjin hayo ...lakin inaumiza sana jamani..usaliti nomaaa
 
Konyo midume ya ivo, mchiiiuuuussss. Cjawah kusema iv ila mechukia sana leo.
 
Hii inakuwa kama story ya shost yangu nipo nae chuo. Mwanaume wake ni mjeda.Ila yeye wamekaa miaka tisa sasa kumbe mjeda ana michepuko mitano. Kila akiulizwa ana kana. Binti akaamua ku move on na mwanaume mwingine. Mjeda akawa anabembeleza kuwa yeye ni wake...binti akataka amkomoe, alimnyang'anya simu akakuta mesej za michepuko na pia nyingine iliyoonyesha ana mtoto, mtoto yaani g anaumwa wanahitaji dawa. Huyo aliyezaa nae wako sasa mwaka karibu wa nne na aliwahi muuliza akamwambia mama g anamng'ania tu hana mpango nae kwanza ni bonge na jitu zima kuliko mjeda. Akamuomba akamuone mtoto kwanza mjeda akamkatalia. Binti akampigia mama wa mtoto akamuomba nae akagoma. Anamwambia anataka amuoe yeye kama suala la mtoto asijali hana mpango na huyo jimama alilozaa nalo. Rafiki yangu anadai anataka amkomoe tu mjeda ila hana mpango nae. Anasema akiingia kwenye 18 zake atamtendea jambo ambalo hata lisahau maisha. Nimemshahuri aachane nae ila yeye kasema mpaka amkomeshe kwanza ili nae aumie. Wenzie wengine wamemwambia apeleke picha ya mjeda kwa mganga amkomeshe.... Marafiki wa mjeda wengine wamemwambia ni ngumu mjeda kuuacha mchepuko aliozaa nao, hapo sasa sijui ataamuaje.
 
waiii ndo maana nimeamua kuwa na kamchepuko kangu nakapendajeee stress tupa kuleee...
 
Habari zenu wana jamvi,

Kiukweli mimi nawapa pole za mizunguko ya siku na nawapa pole na changamoto za maisha ya mahusiano na changamoto za mabosi kwa mlioajiriwa,hii mada imeshadiscusiwa humu nda mara nyinyi na lakini naomba nilete maisha haya kwenu! Iimekuwa kama fashion kusalitiana siki hizi jamani sijui tatizo ni nini,haya ni maisha halisi ya huyu wangu.

Hawa vijana wenzangu walianza mahusiano nikiona na kijana wa kiume huyu aliinekana sana mwaminifu na kumsuhi kijana mwenzie wa kike atulie ili waje wawe na familia bora katika maisha yao ya ndoa.Katika mwaka mmoja wa mahusiano hamna hata dalilu ya kucheat iliyoonekanika.

Lakini kiukweli huyo kijana wa kiume alikuwa na mchepuko wake wa nguvu kilande cha bidada wale waliokwisha kukata tamaa ya kuolewa but hawakuwa na future,mara nyingine kijana wa kike akakuta sms za mwanamke kwenye simu na kumuuliza alikataa kata kata.

Kumbe ulikuwa mchepuko no.2 huyo wa kwenye sms za kwenye simu kiukweli yule bi shot a.k.a.mchepuko no 2 ukaanza kumpigia simu huyu bint wa kike kumtukana from no where.Let kijana wa kiume awe Y na wa kike X ili kupunguza maneno.Baada ya mchepuko no.2 kumpigia X yaan x wala hakuwa anaelewa tatizo ni nini na ukiangalia X hana maneno mengi zaidi ya kulia na kuwa na hasira nyungi Y alitumia akili nyingi sana kumwonesha kuwa mchepuko no.2 ulikuwa unamtaka na hana ussue naye.

Bas X alimpenda sana Y wakaendelea kama kawaida lakin X alifuatilia chinichini kuhusu huo mchepuko na kugundua kweli alikuwa mchepuko but Y alikataa na x ikabidi awe mpole.Wakati huo huo Y anamwambua X jitunze usimpe mtu hata sikumoja maana saivi kuna maradhi mengi so tujitunze.

Kiukweli X alikuwa msikivu mnoo na mstaarabu mpaka marafiki wa Y wakawa wanamsufia kuwa amepata mwanamke maana hakuwa na gharama hata kidogo japo Y alikuwa na kazi ya maana mnoo take home 2m+ cha kushangaza kwa kipindi chote cha 3yrz+ Y hakuwai hata kumtoa out X wala shopping ya even 50 thousand X alikuwa na kipato cha kawaida cha hela ya kula but ni mtu wa kusave mnoo.

Namaanisha mnoo jamani! yaani katika yote hayo kumbe Y ana michepuko mingine kibao ambayo pia X aliitaka na alivyouliza alikataliwa na kuambiwa siyo ukwel so X aligundua michepuko mitano japo mingine hakuijua kabisa.Sasa cha ajabu huyu Y alikuwa kila mchepuko wake anaupa background ya X na kusema mimi ni wa kwanza nitamuoa.

Na nampenda sana plus anafanya wapi kazi inshort ni Cv nzima ya X aliitoa kwa mchepuko yake hata x akisafiri au likizo mchepuko unapewa taarifa! kweli Mungu si athumani sasa yule mchepuko no moja kumbe ule ndio mchepuko parmanent na mpaka hivi hapa Mungu kawajalia kabinti.

X aligundua hiyo movie ya ujauzito na kila akiuliza Y anakataa kabisa Mungu alivomkubwa X alienda mkoani kikazi for 4 month!kurudi alipamba sms kwenye simu mchepuko umetuma "mtoto anaumwa uje na dawa "Basi jamaa alizidi kukana baadae X alipandisha hasira za kimasai na Y ailibidi aseme ni kweli nina kwani unataka nini?

Kama kawaida baada ya ugomvi mkubwa X na busara zake akamwambie naomba iwe mwisho wewe lea familia mimi siwezi tena kuendelea na wewe maana mchepuko wako ni wazamani toka tukiwa na mahusiano ya miezi mitano saivi 3yrz plus.Sasa Y analia kiukweli anaomba X amsamehe waoane.

Kwani walikuwa wanajulikanika mpaka kwa wazazi na walipanga kufunga ndoa mwaka huu X amekataa na hataki kwani amuemia sana baada ya kugundua alikuwa kwenye mtandao wa ngono!yaani analia kwa uchungu mnoo kwanini Y Aliamua kufanya yote hayo?

Hajui kosa na kila akimuuliza y, y analia tu akuomba msamaha! kweli kazaa na bidada/jimama kwani kamzidi Y kiumri na ni kwamba ni mtu na hela zake pia X analia hajui cha kufanya na lakini na anajutia muda wake Iv wanaume mna nini? Maana X ni mzuri mrefu shingo ya twigwa well curved mzuri na natural beuty,huyu jimama ni manyama uzembe natamani niweke hata picha but siwezi kuweka!

Cha kushangaza Y anataka amuoe X very soon na marafik wa Y wanadirik kumwambia X usaliti ni tabia za wanaume wengi mara ni ujana tu msamehe atarekebushika maneno kibao Mimi kiukweli nimemwambia X mwanaume kakudanganya 3yrz plus ukaingie naye kwenye ndio kisa nini? Nimemwambie atupe kule ni mawazo yangu.

Nawasilisha kwenu kwa majadiliano jamani.Naombeni ushauri wa busara kwa hili.

Karibuni

pole yake jaman
 
Back
Top Bottom