Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,441
- 872,037
Hapa naongelea ukhanithi wa kuzaliwa nao na si ule wa kupata ukubwani kutokana na sababu mbalimbali kama maradhi ajali na ulemavu
Pamoja na kuwepo mabandiko mbalimbali kuhusu hili tatizo baya kabisa kwa wanaume lakini Inasemekana kuwa kwenye ulimwengu wa giza majini ndio chanzo
Iko hivi mara nyingi watu hukatazwa/hushauriwa wasifanye ngono mwanamke anapokuwa hedhi, sababu kubwa ikiwa ni afya
Lakini kwenye ulimwengu wa mambo ya giza maelezo ni tofauti kabisa
Mwanamke anapokuwa hedhi halafu mwanaume akataka kumwingilia,jini humtangulia na kupiga cha fasta hivyo jamaa anapokuja kumaliza jini anakuwa ameshamaliza kitambo
Huyu mwanamke akishika mimba na kujifungua huyo mtoto atakuwa khanithi bila kujali jinsia,sababu kubwa ni kwamba jini ana umbo la moto na binadamu ni hewa,maji na ardhi hivi vitu vyote havipatani na moto
Kwahiyo bandugu mnaokosa uvumilivu kipindi cha hedhi habari ndio hiyo