Ni kawaida sana nchi za magharibi msichana akifikisha umri wa miaka 16 anapewa prescription ya birth control pills au njia nyingine ya uzazi wa mpango hii inasaidia kuepuka mimba ambazo hazijapangwa za ujana n.k Lakini kwa maadili na mila zetu za kitanzania utasemwa unahalalisha uzinzi na si kwa manufaa ya next generation.Kitu kingine muhimu ni hawa watoto wafundishwe kuhusu kujikinga na mimba mashuleni,na wapewe choice ya kwenda kwa nesi mfano kama wana maswali kuhusiana na birth control.Tukisema tuendelee tunavyoenda haisaidii kwasababu ka kubinjuana tunajua wanaanza mapema,so ilobaki ni kuchukua precautions tu!
Nchi nyingine mashuleni/vyuoni kuna access ya condom bure kabisa,kwenye toilets!Watu wanajificha mno nyuma ya ukweli na hawataki kuface ukweli kwa kuhofia jamii itachukuliaje suala hili kwa ujumla baada ya kufanya kilicho bora na kile ambacho kina maslahi kwenye jamii.Na ifike mahali tuache kujificha nyuma ya ukweli..kama wote tunajua wanaanza kubinjuana mapema then the best a mother can do ni kumwelekeza binti njia za kuzuia na daddy kumgawia son box la vifanyio
Nchi nyingine mashuleni/vyuoni kuna access ya condom bure kabisa,kwenye toilets!Watu wanajificha mno nyuma ya ukweli na hawataki kuface ukweli kwa kuhofia jamii itachukuliaje suala hili kwa ujumla baada ya kufanya kilicho bora na kile ambacho kina maslahi kwenye jamii.
fanya mambo yawe mepesi kwa kuuliza, Je, dawa za majira zinazuia mimba kweli? kama unataka kuongelea maadili phrase kivingine
Na ifike mahali tuache kujificha nyuma ya ukweli..kama wote tunajua wanaanza kubinjuana mapema then the best a mother can do ni kumwelekeza binti njia za kuzuia na daddy kumgawia son box la vifanyio
Na katika wooote wewe una hakili za ziada. Sina hakika umesoma hadi level gani ila wewe una kitu cha ziada kichwani!! .......kujificha nyuma ya ukweli!!!
Na katika wooote wewe una hakili za ziada. Sina hakika umesoma hadi level gani ila wewe una kitu cha ziada kichwani!! .......kujificha nyuma ya ukweli!!!
Calendar ni njia bora kuliko dawa jamani!
Kuacha kabisa kufanya ngono ndo dawa bana