Hi guys mi ni kijana age 32 nemechoka kukaa mwenyewe nahitaji jiko now nipo mwanza ni mwajiriwa wa serikali.sichagui dini wala kabila aliye tayari.
Tuwasiliane PM please.
Jamani Nabisha hodi mm mgeni kwenye Jukwaa hili ingawa nimekuwa nasoma mara kwa mara Jukwaa hili ninafurahishwa sana na maada na michango mbalimbali ya wana Jf.Bila shaka mtanipokea nategememea...
Huu uzi nimeuweka mahususi kwa ajili ya wanaume kuwaeleza wanawake ukweli kuhusu tunavyochukulia muonekano wao.Kwa kawaida wanawake wanaweza kuwa natural kwa maana hawaongezi chochote kwenye miili...
Mimi nipo kanisa la pentecoste Ruaha Kilombero, umri miaka 28, niambie kanisa ulipo nije tuonane wala hatuta ongea na kupatana humu Jf.
Mungu akubariki
Niko mwaka watatu katika chuo fulani,sasa kuna dada nasomanae ametokea kunipenda sana,kila wakati anataka tuwe pamoja,tukienda kusoma kama ninamaji yachupa tuna share.
Mara anikumbatie,mara...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu.
Je nilikuwa natoka na ma girlfirend wasio na viwango vya uzuri na u wife materials?
Au baada ya kupigana chini, hawakupata Mcharo mtamu...
Jamani wana jamvi naomba ushauri wenu,
Kuna dada nilikuwa na mahusiano nae na tukakubaliana tutaoana tukimaliza chuo. Kwa bahati mbaya yeye kakwama kuendelea na chuo.Hivyo kaamua kupotezea...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Amani ya bwana iwe rohoni mwenu, Ijumaa kuu leo.)
Wanaume mnanishangaza sanaaaa, it took me years just to...
najiuliza hili swali,maana kila siku humu MMU malalamiko hayaishi,
mara sijui utasikia,mpenzi hanifikishi,mara mpenzi mchafu,mara kanitenda,mara kachepuka,mara mbahili,mara ..........
hivi kuna...
Habari wakuu,
Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza...
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye.
Kama unavigezo na...
Kwa wale ndugu zangu wataalamu wa kuogelea wa watakubaliana namimi kwamba utalaamu wao umeshawapa papuchi za kutosha.
Hii ni kutokana kwamba wasichana wengi wanaenda beach lakini hawajui...
habari za wakati huu nduguzangu wanajf especially members wa hili jukwaa?
Kwanza kabisa poleni kwa uchovu kutokana na mihangaiko ya kutwa nzima ya leo!,jamani nduguzangu mimi ninarafikiyangu wa...
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila...
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama...
Wadau wa JF,
Naomba msaada wa kitaalamu na hekima hapa,Kuna ubaya wowote kua katika mahusiano ya kimapenzi na kutaka kuoa kabisa mwanamke ambaye amekuzidi umri?
Kuna athari zozote hapo? Naomba...
Habari wakuu,
Leo nimekutana na mshikaji wangu wa siku nyingi kidogo, tulikuwa nae pande za chuo miaka hiyo. Basi katika story za hapa na pale nikamuuliza vp kuhusu mshkaji wetu Endru ( sio...
Habarini ndugu,
Naomba maelezo au majibu ya kisayansi na ya kunitia moyo..tafadhali msinikatishe tamaa ili nipate wasiwasi na mke wangu tambueni kuwa nampenda mno.
Nilishawahi kuwa na mahusiano...
Jirani yangu mmoja ambae tunafahamiana lakini sio marafiki, kanivamia tu jioni hii na kuanzakuniporomoshea mvua ya matusi makali huku akiwa na tuhuma nzito za kwamba natembea na mke wake.
Kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.