Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini ndugu, Naomba maelezo au majibu ya kisayansi na ya kunitia moyo..tafadhali msinikatishe tamaa ili nipate wasiwasi na mke wangu tambueni kuwa nampenda mno. Nilishawahi kuwa na mahusiano...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Jirani yangu mmoja ambae tunafahamiana lakini sio marafiki, kanivamia tu jioni hii na kuanzakuniporomoshea mvua ya matusi makali huku akiwa na tuhuma nzito za kwamba natembea na mke wake. Kisa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana humu, Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa, sifa zangu: Muislam. Mrefu kias.i Umri wng 22. Nimeajiriwa serikalini. Sivuti sigara wala situmii pombe. Mchumba...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Women who have several sexual partners before getting married have less happy marriages but men do no harm by playing the field, a study has found. According to -new research by the National...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna msichana jirani yangu nimezoeana naye sana, sijawahi tongoza cause sikuwa na plan naye but nina namba yake so huwa nachat naye. Kwenye chatting huwa kananitegatega mara oh njoo...
0 Reactions
138 Replies
22K Views
I need to hear from u girls, does real size matters in bedroom? if yes, wht do u thnk is the normal size for u! welcome
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Aisee wapo girl ukitokea tu wanachanganyikiwa,hata kukuangalia hawawezi acha hawa wa JF wanajifanya kuongea bla bla kwa fake id's,kila girl bhana mkigongana macho lazima ajistukie,wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya...
18 Reactions
76 Replies
10K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huwa ni rahisi kumpata mwanamke unaemtaka kama ukimtumia rafiki yake wa karibu amshawishi kuliko hata ukimtongoza mwenyewe. Tena hiyo inaenda hadi kwa wake za watu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu, Nina mpango wa kuoa karibuni, ila wazazi wanataka nikaoe kijijini kwa kigezo ktwa mabinti wa kijijini sio mapepe, wanajiheshimu na wanatabia nzuri sana pia sio wasumbufu hata wakija...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Natafuta mwanamke wa kuchat naye kama upo ok nichek kwenye nyoniben2@gmail.com tushee ideal
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?
3 Reactions
136 Replies
47K Views
Yale mapenzi ambayo inafikia sehemu mtu unaangua kilio kabisa kwa ule wimbo wa End of the Road wa Boyz II Men? ..... Although we've come, to the end of the road, still I can not let you...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Utakuta binti katongozwa na jamaa alafu anakwenda ku advertise kwa mashoga zake, shosti usimwone vile yule kaka mimi kashawahi kunitongoza, sasa usitongozwe wewe si mwanamke au? Tena mwengine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Najua fika kuwa wapo akina dada na wanawake ambao wana maisha mazuri na wako vyema kiuchumi ila wanachokosa ni upendo tu wa kupata mwanaume mkweli na mwenye upendo. Hivyo basi kama wewe ni mdada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
[KISA CHA KWELI KABISA] Hili ni swali ambalo jamaa yangu mmoja.alikuwa akijiuliza na wakati mwingine alikuwa akiniuliza mimi pia. Jamaa anadai amekuwa akijitahidi sana aachane na habari za mapenzi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
hi wana MMU!! ni ukweli uliodhahiri kuwa unapohisi mwenza wako anakusaliti, awe ni mwanaume au mwanamke ujue ni ukweli zaidi ya asilimia 90. wanawake wengi wana-cheat kwa kutumia wanawake wenzao...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Mdau wa MMU, Ni imani yangu umeyaanza vyema mapumziko marefu ya mwishoni mwa wiki. Ninakuja kwenu kuomba ushauri kwa tatizo linalo nikabili. Mnamo wiki iliyopita niliamua kwenda kutembea...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba niulize, hivi kwanini watu wakimya, au wengine hutumia lugha " wapole" wanakuwa regarded kama "silent killers".Juzi nilikuwa kijiweni, kuna kijana mmoja ambae ukweli ni...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Salamu kwenu wapendwa? Fikiria unatokea kumpenda mdada/mkaka unamkuta tayari ana frustration za kutendwa/ kutapeliwa kimapenzi na matapeli wa mapenzi, Je unaweza kumrejeshea upendo wa awali na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom