Wanawake badilikeni mnakera

Wanawake badilikeni mnakera

Joined
Sep 20, 2014
Posts
69
Reaction score
14
Unakuta mwanamke

1. Kucha sio zake.
2. Nywele sio zake.
3. Kope sio zake.
4. Midomo sio rangi yake.
5. Ngozi sio ile halisi ya kwake.
6. Wengine makalio si ya kwake.
7. Maziwa sio yale halisi ya kwake.
8. Hata matokeo tu ya shuleni kalala na mwalimu yakabadilishwa.

Sasa sikiliza maneno yake, nataka mwanamme anayejipenda, anayejiheshimu, i want a real man.
kuna real man wa kuoa midoli? tafuta mdoli mwenzio, real man ataoa a real woman.:biggrin1:
 
9. hata 'moyo' wa bandia! 'baby..i love you...mwaa mwaa'!! ULONGO MTUPU
 
Lkn miguu a.k.a usafiri wameshindwa kuweka mbadala
 
Wanapenda kuhongwa hongwa sana hawa wadada wa namna hii, yupo tayari kutumia hata Laki...!
 
Kwa sababu unakuta mwanaume ana wa zimikia wanawake wenye
Kucha za bandia
Nywele kama za rihana
Kope kama za uwoya
Rangi za mdomo kama za wema
Ngozi nzuri kama ya beyonce
Makalio makubwa kama yangu
Maziwa makubwa kama ya nick minaji
Na matokeo mazuri ya shule kama yangu.....
Munazan kwamba nyie mungekuwa hampend ivyo vitu sisi tungefanya ivyo? Ila wengene wanafanya coz ni amependa na sio adi amfurahishe mtu......kila mtu na starehe zake Kijana Mpole Ol.......
Ushauri wewe usiangalie wengi tupoje bali mtafute mnayemtaka sijui ndo natural.....
 
Last edited by a moderator:
Ushauri kuntu, na kwa kuzingatia ushauri wako mimi sijawahi kukutana na type hizo. Hivi na hizo kicha za bandia wanajisafishaje??
 
Ushauri kuntu, na kwa kuzingatia ushauri wako mimi sijawahi kukutana na type hizo. Hivi na hizo kicha za bandia wanajisafishaje??

Wakitaka kujisafisha wanazitoa then wakimaliza wanazirudisha..... usijal mkuu hazina madhara
 
Back
Top Bottom