Ushauri: Toka boyfriand afariki sipo sawa

Ushauri: Toka boyfriand afariki sipo sawa

ney2nyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
200
Reaction score
69
Habari zenu jamani,

Mie nahisi stress zitanitoa roho, toka my boy kufariki nahisi sipo sawa kabisa, coz kila anaekuja kwangu naona mizinguo tu, sijui nifanye nini niwe na amani na furaha kama zamani.
 
tafuta wa kudate nae kwa mda..huku unajipanga ili kupunguza stress
 
Dah, Pole Jus Keep Ur Self Bz Itakusaidia..Usikurupuke Kuingia Kwnye Relation Kw Haraka Kw Jil Ya Kuondoa Strec Cz Unaweza Angukia Pasipo Salama.
 
Dah, Pole! Jus Keep Ur Self Bz Itakusaidia..Usikurupuke Kuingia Kwnye Relation Kw Haraka Kw Jil Ya Kuondoa Strec Cz Unaweza Angukia Pasipo Salama.
 
It takes time kumtoa marehemu moyoni

Usikimbilie kuwa na mtu.....
 
Pole shosti kwa hali ngumu unayopitia. Hali hiyo na mimi nimeipitia (baada ya kufiwa na mke wangu). Ni kipindi kigumu sana na bahati mbaya wengi au jamii Kwa ujumla wake hamjui undani wa tatizo hili. Siku ya Valentine niliandika mada yenye kusema "Msiba na nyemi" hapa hapa, lengo likiwa kuwaleta Pamoja wale waliowapoteza wenza wao. Kusema pole ni vzr Lakini kupeana mbinu na maarifa ya kulikabili suala hili ni vzr zaidi. Ukiona ni vyema ni"pm". Pasaka njema.
 
Usiendelee kumpa stress huko PM make mwenzetu kaamua kuweka hadharani ili tumsaidie hadharani.
 
Mwaga hapa watu wapate faida sasa private message inahusika vp? mbona yeye kamwaga hadharani? usitubague ndg wapo wengi inawakuta au wapo katika hali hiyo ni kwa nia njema tu natoa ushauri.
 
Usiendelee kumpa stress huko PM make mwenzetu kaamua kuweka hadharani ili tumsaidie hadharani.
Pole sana ndugu yangu, ndio tatizo la jamii kukosa kuaminiana. Mtu akiona baadhi ya wanasiasa walaghai, baadhi ya viongozi wa dini wasio wakweli na watu wa kada tofauti tofauti si waaminifu basi kwake yeye jamii nzima haiamini. Bahati mbaya sana mimi si mtu wa aina hiyo. Natumaini mama yangu alinizaa ili nije kuwa fahari ya jamii na si karaha ya jamii.
 
Dah, Pole Jus Keep Ur Self Bz Itakusaidia..Usikurupuke Kuingia Kwnye Relation Kw Haraka Kw Jil Ya Kuondoa Strec Cz Unaweza Angukia Pasipo Salama.

mwenyewe najitahd kukwepa mahusiano kwa sasa
 
Mwaga hapa watu wapate faida sasa private message inahusika vp? mbona yeye kamwaga hadharani? usitubague ndg wapo wengi inawakuta au wapo katika hali hiyo ni kwa nia njema tu natoa ushauri.
Naomba nitangulize Pole kwa wote waliopoteza wenza wao. Kikubwa ninachoweza Sema ni kuwakumbusha msemo usemao "ushikwapo shikamana". Jambo la msingi ukiwa katika hali hii ni kuukubali ukweli.

Wengi wetu kama sio wote huwa hatutaki kuamini kama "wenza" wetu wametutoka. Hupaki tukiwawazia na kuweka matarajio kana kwamba wameenda safari na punde si punde watarejea. Ni vyema ukakubali kuwa mwenzio kakutangulia na wewe huna budi kuinua mikono juu kumshukuru yeye alie juu. Ukiweza hili unakuwa umepiga hatua kubwa mbele. Jiepushe kutumia muda mwingi kumuwaza hasa nyakati unapohitaji uwepo wake, mfano usiku, siku za mapumziko na siku za sikukuu kama leo.

Na badala yake fanya kile unakiona kinaweza kukuondolea mawazo mfano kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili ukirudi home uwe umechoka. Unapotaka /unapoamua kuanzisha uhusiano mpya jitahidi kukubali kuanza upya. Ninalisema hili nikimaanisha usiingie kwenye mahusiano kwa lengo la kuziba nafasi ya yule aliyetangulia mbele za haki. Mtu akifa pengo lake huwa halizibiki na huwezi mpata kama yy.

Jitahidi kadri uwezavyo kuamini katika utofauti, kwa maana usipende kumlinganisha utakae mpata na yule alietangulia kwa Allah. Kama wewe unaamini ktk uwepo wa Mungu jitahidi kumtanguliza yeye ktk maisha ya kila siku na amini kila jambo lina sbb yake. Kaa mbali na ikiwezekana waepuke watu wanaokuzunguka ambao ni chazo cha wewe kukusababishia maumivu, mfano wapo mashemeji ambao mara tu baada ya msiba hutaki kuwa karibu kwa Nia ya kuanzisha mahusiano, wao hudhani wanafarijika Lakini kwa wafiwa hali hii huchochea simanzi na majonzi. Mengine tutafahamisha zaidi.
 
Naomba nitangulize Pole kwa wote waliopoteza wenza wao. Kikubwa ninachoweza Sema ni kuwakumbusha msemo usemao "ushikwapo shikamana". Jambo la msingi ukiwa katika hali hii ni kuukubali ukweli. Wengi wetu kama sio wote huwa hatutaki kuamini kama "wenza" wetu wametutoka. Hupaki tukiwawazia na kuweka matarajio kana kwamba wameenda safari na punde si punde watarejea. Ni vyema ukakubali kuwa mwenzio kakutangulia na wewe huna budi kuinua mikono juu kumshukuru yeye alie juu. Ukiweza hili unakuwa umepiga hatua kubwa mbele. Jiepushe kutumia muda mwingi kumuwaza hasa nyakati unapohitaji uwepo wake, mfano usiku, siku za mapumziko na siku za sikukuu kama leo. Na badala yake fanya kile unakiona kinaweza kukuondolea mawazo mfano kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili ukirudi home uwe umechoka. Unapotaka /unapoamua kuanzisha uhusiano mpya jitahidi kukubali kuanza upya. Ninalisema hili nikimaanisha usiingie kwenye mahusiano kwa lengo la kuziba nafasi ya yule aliyetangulia mbele za haki. Mtu akifa pengo lake huwa halizibiki na huwezi mpata kama yy. Jitahidi kadri uwezavyo kuamini katika utofauti, kwa maana usipende kumlinganisha utakae mpata na yule alietangulia kwa Allah. Kama wewe unaamini ktk uwepo wa Mungu jitahidi kumtanguliza yeye ktk maisha ya kila siku na amini kila jambo lina sbb yake. Kaa mbali na ikiwezekana waepuke watu wanaokuzunguka ambao ni chazo cha wewe kukusababishia maumivu, mfano wapo mashemeji ambao mara tu baada ya msiba hutaki kuwa karibu kwa Nia ya kuanzisha mahusiano, wao hudhani wanafarijika Lakini kwa wafiwa hali hii huchochea simanzi na majonzi. Mengine tutafahamisha zaidi.

asante kwa maneno mazuri
 
Tulia kwanza mpaka akili itakapokukaa sawa, haitakuchukua muda mrefu kuzoea na kukubali hali.
 
Pole sana ndugu yangu, ndio tatizo la jamii kukosa kuaminiana. Mtu akiona baadhi ya wanasiasa walaghai, baadhi ya viongozi wa dini wasio wakweli na watu wa kada tofauti tofauti si waaminifu basi kwake yeye jamii nzima haiamini. Bahati mbaya sana mimi si mtu wa aina hiyo. Natumaini mama yangu alinizaa ili nije kuwa fahari ya jamii na si karaha ya jamii.

Vizuri mkuu...basi usitake kuwa fahari ya mtu mmoja hapa kwa kwenda pm..kuwa fahari ya jamii..toa mchango jukwaani kwa sababu hili tatizo sio exclusive kwako wewe na mdada tu..sioni mantiki ya kufanya siri...unless.....
 
Tayari nimeshatoa.
 
Back
Top Bottom