Ulimwengu wa kimahusiano sikuhizi umepoteza dira

Ulimwengu wa kimahusiano sikuhizi umepoteza dira

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
Heri ya pasaka wandugu,

Hivi huu ulimwengu wa kimahusiano siku hizi mbona kama umepoteza dira sana,Yani unakuta mtu anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu mmoja ila baada ya wiki kadhaa unakuta ameshakuwa na msururu wa wapenzi

Na kujisahau kabisa kwamba kwa kufanya huo mchezo anahatarisha maisha yake,hii inakuwa mbaya zaidi maana kuna wale ambao wanakwepa matumizi ya kinga makusudi wakidai kwamba mipira ikitumika inawawasha na kuwachubua.

Kuna hili kundi lingine la wale ambao wanatoka na wazee wa umri wa baba zao au mama zao kwa kigezo cha kutafuta security ya ma pesa na starehe za free zambezi hapa mjini huku mtu huyo akifurahia uhuru wa kuchepuka zaidi maana eti hagandwi.

Hivi ni sahihi kweli kuyageuza mahusiano kama multi-player games kama tufanyavyo baadhi yetu,
Je, kuna atakayepona? kwa wale ambao ni waaminifu katika uhusiano.
 
Hakuna atayepona hata mmoja cha muhimu ni kuwa na mmoja na huyo mmoja awe na mmoja anbaye ni mmoja tuu kwake..!
 
Heri ya pasaka wandugu,

Hivi huu ulimwengu wa kimahusiano siku hizi mbona kama umepoteza dira sana,
Yani unakuta mtu anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu mmoja ila baada ya
wiki kadhaa unakuta ameshakuwa na msururu wa wapenzi na kujisahau kabisa kwamba kwa
kufanya huo mchezo anahatarisha maisha yake,hii inakuwa mbaya zaidi maana kuna wale
ambao wanakwepa matumizi ya kinga makusudi wakidai kwamba mipira ikitumika inawawasha
na kuwachubua.
Kuna hili kundi lingine la wale ambao wanatoka na wazee wa umri wa baba zao au mama zao
kwa kigezo cha kutafuta security ya ma pesa na starehe za free zambezi hapa mjini huku
mtu huyo akifurahia uhuru wa kuchepuka zaidi maana eti hagandwi.

Hivi ni sahihi kweli kuyageuza mahusiano kama multi-player games kama tufanyavyo baadhi yetu?
Je,kuna atakayepona? (kwa wale ambao ni waaminifu katika uhusiano)
Another cheap post of yours,.........
 
Another cheap post of yours,.........

:biggrin:Congratulations mkuu, dunia isingekuwa hivi ilivyo bila watu kama nyie...All the inventions,innovations and the like are result of having such people like you.Thanks in advance for the Evaluation though!
 
Love has lost it's meaning now days or love has lost it's value now days. Kikubwa ni mmomonyoko wa maadili ndio chanzo cha haya utandawazi umetuharibia jamii kibabu uso mkavu kinamtamkia mjukuu wake kuwa kinamtaka na jimama la mpapure nalo linamuonyesha kijana kwa ishara kuwa linataka mambo.

Tamaa imetawala vitu vizuri vimekuwa vingi na uwezo wa kuvipata kwa hawa vijana hawana ndio inabidi itumike slogan "mjini msingi kiuno "machafu yanafanyiwa promotion leo si ajabu kusikia tigo badala ya mtandao wa simu ina maana nyingine kabisa na watu hawaoni haya kukiri wametoa au wamepewa.

Kupona ni kufungamana na imani yako ya kweli na kuacha maasi.
 
Akili za usiku zinapotumika mchana haya ndio matokeo yake.....
 
Wenyewe wanaoongoza dunia wanataka kuifanya dunia kufuata mpango wao wa NWO katika masuala ya ngono ambao unasema sex is salvation. Na kwa kutumia pornography, watakamata wajinga wote, lakini werevu watapeta kwa kutumia misingi iliyomo katika maneno ya Mungu.
 
Hii hali inatisha mno mkuu guasa kuna kamsemo nilikasikiaga pia kwamba kumchunga mpenzi ni sawa na kulinda bahari, unalinda "feri" wanavua "kawe"
 
Wenyewe wanaoongoza dunia wanataka kuifanya dunia kufuata mpango wao wa NWO katika masuala ya ngono ambao unasema sex is salvation. Na kwa kutumia pornography, watakamata wajinga wote, lakini werevu watapeta kwa kutumia misingi iliyomo katika maneno ya Mungu.

Ni wakati ambao tunatakiwa tuishi kwa kuegemea katika misingi ya kiimani kwa kweli,vinginevyo huu umagharibi sidhani kama utaacha kuzidi kutuangamiza Barnabas Shadrack
 
Last edited by a moderator:
Love has lost it's meaning now days or love has lost it's value now days. Kikubwa ni mmomonyoko wa maadili ndio chanzo cha haya utandawazi umetuharibia jamii kibabu uso mkavu kinamtamkia mjukuu wake kuwa kinamtaka na jimama la mpapure nalo linamuonyesha kijana kwa ishara kuwa linataka mambo.

Tamaa imetawala vitu vizuri vimekuwa vingi na uwezo wa kuvipata kwa hawa vijana hawana ndio inabidi itumike slogan "mjini msingi kiuno "machafu yanafanyiwa promotion leo si ajabu kusikia tigo badala ya mtandao wa simu ina maana nyingine kabisa na watu hawaoni haya kukiri wametoa au wamepewa.

Kupona ni kufungamana na imani yako ya kweli na kuacha maasi.
guasa
Sometimes naonaga ni heri kuchelewa kufika kuliko huku kukatiza shortcut zenye hatari tupu, hilo la tigo nalo neno...
isije sodoma na gomora ikatupga kwa mara nyingine tu
 
Mkuu mwisho wa civilization ndio kurudi kwenye ushenzi? siamini kama mchangiaji alivyosema ni ulimbukeni kama tuliwakuta babu na bibi ni wastaarabu baba na mama ni wastaarabu sisi huu ushenzi na uafriti tume copy na ku paste wapi?

kwa mila nyingi achilia mbali dini bint kuzaa kabla ya ndoa ilikuwa jambo la aibu japo yalitokea but si kwa rate ambayo inaonekana siku hizi. Mashoga pia walikuwapo lakini ukikuta mmoja yupo mwenge basi jirani yake yupo kiparang'anda na kwa kujificha but now days kila kitu wazi na wanakuwa promoted.

Kiukweli nguvu ya imani inahusika kwanza tuonyeshe kuwa tunakerwa na mambo hayo.
 
Back
Top Bottom