Mabinti mnakumbwa na nn mpaka inakua hv?!

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Jaman nimerud nilipokulia kwa lengo la kujumuika na familia sikukuu.
Ila nimeshangazwa sana kukuta mabinti wengi nilio soma nao na wengine kuwaacha kiumli % kubwa wamezalishwa bila kuolewa na bado maisha yao wapo kwa wazazi (wanawategemea).
Najiuliza yanayowasibu au tatizo ss tumegoma kuoa?
 
mie nadhani elimu ya uzazi.inahitajika.kwa mabinti.zetu ili kujizuia na hizi mimba kabla ya ndoa......

elimu ya utambuzi......kutambua umuhimu wa usichana wake .....kwamba asipojijengea misingi mizuri hapa katika stage ya usichana ambayo ndiyo nguzo kubwa kwa maisha yake ya baadae basi mambo.yatabadilika.....

lingine wanaume wapunguze ulaghai.kwa hawa mabinti.....kuna wadada kibao wakubwa....wawafwate hao na waache kuwaharibia maisha haaa mabinti.....na basi ikitokea wamewapa ujauzito basi wawaoe......
 
Well said dear.... Thanks..
 
Bodaboda na chipsi dume na dushele la value lazmz urudi tena ndio mimba hapo
 
Maula, hiyo ni kawaida katika karne hii ya 21! Ko kote uendako duniani utakutana na hilo; ulaya America etc etc. Kwa nini Tanzania iwe tofauti?
 
Hao mabinti unaowaona wapo hivyo hawakushushwa kutoka mawinguni bali ni zao la jamii yetu....taswira unayoipata kutoka kwa hao mabinti ndio inaakisi picha halisi ya jamii yetu ya leo inayoamini katika falsafa ya kila mtu na lwake na mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.....hili sio jambo la kunyoosheana vidole bali ni jambo la kujiuliza wewe mwenyewe je unatimizaje wajibu wako ukiwa kama mwanajamii katika kuwalinda mabinti zetu ??.......hizo mimba hawajipi wenyewe bali wanapewa na watu ambao tunaishi nao humo mitaani na ni wanajamii wenzetu....kila siku tunashuhudia wakina baba kwa vijana wakiwarubuni mabinti zetu tena wengi wao ingali wanasoma lakini hakuna anayejali kwa kila mtu na lwake...hakuna anayejali kwa kuwa sio mtu anayemhusu kwa hiyo haoni sababu ya kuchukua hatua...huko ndipo ilipofikia jamii yetu....lakini cha kushangaza sasa hao hao wanaoshuhudia mabaya wanayotendewa mabinti huko vichochoroni huku wakiwafumbia macho kana kwamba hawayaoni ndio wanakuwa wa kwanza kushangaa na kuanza kulalamika kuwa siku hizi mabinti wameharibika....ninacho taka kuwaambia wanajamii wenzangu ni kwamba jukumu la kuwalea katika hali heshima mabinti zetu ili waje kuwa zao bora katika jamii yetu ni letu sote na kila mmoja kwa nafasi yake....ya wazazi yanaishia nyumbani kwa kuwa hawawezi kutembea nao wakati wote na kutuachia wanajamii wengine....sio jambo lenye kupendeza masikioni kwa mzazi yeyote yule mwanae kuvuma kwa sifa mbaya...kama vile ambavyo hupendi kumuona mtu yako anakuwa mfano mbaya katika jamii ndivyo hivyo kwa mzazi mwenzako hapendi kuona hivyo.......kuna marika ambayo mabinti zetu huwa wanapitia ambapo inakuwa ni rahisi kwao kurubuniwa lakini cha msingi ni kwamba haya mambo yote huwa yanafanyika mbele ya macho yetu kwa hiyo ni wajibu wetu kuyazuia........MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO.......
 
Kwani kuna shida gani si ndio mambo ya kula bata?
Huwezi kula keki halafu ukategemea iendelee kuwepo.
Maisha ya sasa ambapo tabia zote chafu ndio ukisasa au kwenda na wakati utegemee watu wajitunze hadi ndoa.
Mnashangaza
 
Hao mabinti unaowaona wapo hivyo hawakushushwa kutoka mawinguni bali ni zao la jamii yetu....taswira unayoipata kutoka kwa hao mabinti ndio inaakisi picha halisi ya jamii yetu ya leo inayoamini katika falsafa ya kila mtu na lwake na mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.....hili sio jambo la kunyoosheana vidole bali ni jambo la kujiuliza wewe mwenyewe je unatimizaje wajibu wako ukiwa kama mwanajamii katika kuwalinda mabinti zetu ??.......hizo mimba hawajipi wenyewe bali wanapewa na watu ambao tunaishi nao humo mitaani na ni wanajamii wenzetu....kila siku tunashuhudia wakina baba kwa vijana wakiwarubuni mabinti zetu tena wengi wao ingali wanasoma lakini hakuna anayejali kwa kila mtu na lwake...hakuna anayejali kwa kuwa sio mtu anayemhusu kwa hiyo haoni sababu ya kuchukua hatua...huko ndipo ilipofikia jamii yetu....lakini cha kushangaza sasa hao hao wanaoshuhudia mabaya wanayotendewa mabinti huko vichochoroni huku wakiwafumbia macho kana kwamba hawayaoni ndio wanakuwa wa kwanza kushangaa na kuanza kulalamika kuwa siku hizi mabinti wameharibika....ninacho taka kuwaambia wanajamii wenzangu ni kwamba jukumu la kuwalea katika hali heshima mabinti zetu ili waje kuwa zao bora katika jamii yetu ni letu sote na kila mmoja kwa nafasi yake....ya wazazi yanaishia nyumbani kwa kuwa hawawezi kutembea nao wakati wote na kutuachia wanajamii wengine....sio jambo lenye kupendeza masikioni kwa mzazi yeyote yule mwanae kuvuma kwa sifa mbaya...kama vile ambavyo hupendi kumuona mtu yako anakuwa mfano mbaya katika jamii ndivyo hivyo kwa mzazi mwenzako hapendi kuona hivyo.......kuna marika ambayo mabinti zetu huwa wanapitia ambapo inakuwa ni rahisi kwao kurubuniwa lakini cha msingi ni kwamba haya mambo yote huwa yanafanyika mbele ya macho yetu kwa hiyo ni wajibu wetu kuyazuia........MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO.......

mi nachoamini Tanzania imepigapiga hatua kielimu kwasasa angalau ndo maana nimeshangazwa na kujiuliza mengi kwan elim inatolewa mashulen na hata mitaan kwa ndugu na majamaa lakin hal bado ndo hii tena sasa kusingekua na elim ingekuaje tena kunahata njia salam za kujikinga na mimba ukiachana na zisizosalama.
inabd tuchukue hatua kwan itafka kipind bint ukitaka kumuoa lazma unakuta anamtoto tayar
 
kujitambua ni tatizo kwa vijana wengi wawe wa kiume au kike. Elimu ya mahusiano na mapenzi inahtajika sana kwa vijana
 
mie nadhani elimu ya uzazi.inahitajika.kwa mabinti.zetu ili kujizuia na hizi mimba kabla ya ndoa......

elimu ya utambuzi......kutambua umuhimu wa usichana wake .....kwamba asipojijengea misingi mizuri hapa katika stage ya usichana ambayo ndiyo nguzo kubwa kwa maisha yake ya baadae basi mambo.yatabadilika.....

lingine wanaume wapunguze ulaghai.kwa hawa mabinti.....kuna wadada kibao wakubwa....wawafwate hao na waache kuwaharibia maisha haaa mabinti.....na basi ikitokea wamewapa ujauzito basi wawaoe......
best comment you are smart and brave.
 
Rais aliulizwa; Inakuaje wafunzi kupigwa mimba ovo ovyo:?
Jibu likawa hivi: Kihere hre chao.
sasa unataka mimi nijib nin kuinganana raisi wangu?
 
Elimu zaidi inahitajika hasa ya Afya ya uzazi na kihere here sio jibu maana hawana uwelawa na miili yao
 
Wasichana ni watu wepesi sana kukata tamaa, kinachoshangaza zaidi ni msichana mwenye umri wa miaka 21 anaamini kua mvulana mwenye miaka 21 anayo haki ya kumdanaganya! majanga kweli
 
Tatizo ni wakina nyie wa eneo lenu, mnakwenda kuoa mahali pengine na kuwaacha wao solemba. Kama hivyo umerudi mara moja unajipigia zako na kuondoka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom