Hivi lile tunda linalosemwa la mti wa katikati walilokula Adam na Eva, ni kweli lilikuwa tunda kama tunda au walifanya mapenzi.Hili limekuwa likijadiliwa sana kwa namna tofauti.
Tujadiliane...
Utakuta umekuwa kwenye mahusiano na mtu then mkaachana kwa sababu za hapa na pale.Utajutaa! anakufuatilia kila hatua unayotembea kashfa,majungu,matusi,na zarau.
Anataka basi we maisha yako...
Habari za kazi wanajamvi,
Niliwahi kuomba ushauri hapa,nashuuru nilifanikiwa.
Kuna tatizo limetokea tena kwa huyu mzazi mwenzangu, aliomba awe anakuja kumuona mtoto binafsi sikuafikiana nae na...
Aisee mimi hii hapana kwakweli, kuna mdada mmoja ni mpoyoyo tena bogas wa mwisho kabisa ana mpenzi wake. Huyo dada ahemi apumui yani kafa kaoza kwa mshkaji eti kisa dushe oh mkaka mrefu giant...
Dada yake John aitwaye Emmy, Emmy ameolewa na Jackson. Jackson anaishi na mpwa wake aitwaye Irene. je ni sahihi endapo John ataamua kumuoa Irene?
Hii inaruhusiwa kulingana na tamaduni za...
Natafuta marafiki wa kuchat nao iliwanikeep busy katika kuondoaa huu upweke nilionao coz tayari nishatendwa yani sometimes mpaka nahisi akili inaganda coz of stress. But nimejuta mimi kupenda...
Mchungaji John Nelson Canning
Mchungaji Canning na mkewe siku alipowafungisha ndoa Bwana Leo Gleese na Bibi Hazel Gleese katikati
Mchungaji Canning siku ya mazishi ya ajuza hao
Mnamo January 3...
kuna duh mmoja nimekua nae muda kdogo tumewah zinguana tu coz mimi i m not much caring man nlikua napga cm once a week kipnd tukiwa likizo n so on cz mm cio mtu wa totoz hobby yangu hua ni pombe...
Miaka 5 ndani ya ndoa na watoto wawili. Yale mapenzi na mashamsham niliyokuwa nikiyapata kutoka kwa waifu siyapati tena.
Nimeshajaribu kuongea nae mara elfu kidogo na kumwambia kuwa ananisahau...
Habari za asubuhi wanna MMU,
Nina mdogo wangu wakiume anaishi nje, alikuja likizo akakutana na mdada hatimae wanataka kufunga ndoa, tatizo limekuja pale rafiki yake mdogo wangu ambae ndio...
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia...
Wasalaam,
Kumekuwa na mitindo ya mavazi, inayoingia kila leo kwenye maduka yetu ya fashion na dada zetu wamekuwa wakiyapapalikia mavazi hayo, bila kuangalia madhara, mavazi hayo yamekuwa...
Kama walivyosema wahenga wa kiingereza, 'The end justify the means'. Vita ni vita na kilicho muhimu ni ushindi, mbinu gani imetumika na kwanini huja baadae. Kuna rafiki yangu ambae siko nae rika...
Hivi kwanini mabosi wengi Serikalini, Private sectors wanatembea sana kimapenzi na ma Secretary wao. Kwanini Masecretary hawagomi kutembea na Mabosi wao? Yaani hawawezi kusema NO, Why?
Habari zenu wakuu,
Hapa nina wakati mgumu kidogo, nina rafiki yangu tumeshibana sana kaniomba ushauri.Ni hivi kuna jamaa mmoja kamuaproch baada ya huyo jamaa kufiwa na mkewe kama miezi miwili...
Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea rafiki yangu wa karibu, jamaa yangu ana mpenzi/mchumba ambae wamedumu nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka 2 mwanzoni jamaa anadai alikuwa hampendi kitu ambacho...
Inasemekana kwamba mwanaume yeyote akiwa anapenda sana kufanya mapenzi basi katika uzao wake wa kwanza asilimia kubwa lazima apate mtoto wa kike,
Kwa hiyo inasemekana eti Mungu anataka na wewe...