Ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenzi wangu but nashindwa kumsahau.Kunakipindi nilimpotezea kabisa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyoni but nmeshindwa.
Alinambia amenisameee but...
Zamani nilipokuwa mdogo enzi hizo tunacheza mbugani, tumevua nguo tunaogelea, wale ambao migegedo ilikuwa supa tulikuwa na raha sana.
Hufichi kitu hasa wanapotokea watoto wa kike. Nakumbuka kuna...
Wana jamvi habarini za kazi,
Awali ya yote naombeni kuwashukuru kwa michango yenu ambayo mliiandika. Huwezi kuamini, nimepata shule kubwa sana kutokana na mawazo na ushauri wenu, bila kujali...
"Mke wangu ametoroka na hajulikani alipo. Chanzo ni kwenda naye bar wanapopika chakula vizuri sana ili ajifunze kupika kwani akipika chakula sifurahii kabisa.
Kwani kinazidiwa na cha house maid...
Sio mara moja nimesikia mwanamke akisema "ni heri akose tu pesa tuishi kwa amani" au naomba Mungu aendelee hivihivi asipate kazi.
Kwa kweli sio maneno mazuri hata kidogo pia kumbuka hamna ombi...
Katika miaka ya hivi karibuni serikali mbalimbali zimetoa mwito wa dharura kwamba vitu vya watoto vya kuchezea na vito fulani viondolewe madukani. Kwa sababu gani? Baadhi ya vitu hivyo...
Kila mara tunasikia wanandoa wamesalitiana. Swali langu ni kwamba, Kama mke akianzisha mahusiano na mwanaume mwingine kwa madai mwamba ana ugomvi na mmewe wa ndoa hutambulika kama msaliti.
Kuna...
Kuna wanawake ambao ukitembea nao tu ujue ajira yako imefika ukingoni.Wapo wengine ukiwadinya tu kaa ukijua utapata hasara kubwa Kwenye biashara yako na ukijidai unang'ang'ana naye kaa ukijua ndio...
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz...
Habari zenu ndugu zangu,
Najua wazi tuko makundi tofauti kuhusu hoja hii ninayoiweka jukwaani,
tupo ambao hatuamini ushirikina kabisa, tupo ambao tunaamini lakini
hatuutaki kwa sababu za imani...
Nipo kimahusiano na binti mmoja mwaka wa3 sasa, kiukweli tunapendana bila matatizo,Tatizo nikwamba kuliwah tokea utata flani hali ilo pelekea wazazi kuchukizwa na sikuwa pamoja.
Mwezi ulikatika...
Nilipata bahati ya kuongea na bwana SEKAY mwanasaikolojia aliebobea kwa kiasi fulani.
Tuliongea mengi lakini ili ndio nimeona linafaa katika jukwaa hili.
Nilimuuliza kitu gani kinachosababisha...
Hivi kama uefiwa ni umefika hiyo miaka kama 55-65 unatoa sababu gani za msingi kuoa tena? Mimii huwa siridhishwi kuona mtu wa umri huu akioa zaidi najiuliza huyu mzee mhuni ama ni wajibu...
Dunia bado inakua, leo nimeamini!
Nikiwa ktk matembezi yangu, wiki jana, maeneo ya chang'ombe hapa dodoma nikakuta mkusanyiko wa watu nje ya nyumba moja ya kupanga. Kama kawaida ya watu wenye...
Kupanga kwa ajili ya talaka
Waaustralia wengi zaidi wanafanya mikataba kabla ya kuoana wakitaka wenzi wao waishi kwa njia fulani hususa, lina ripoti gazeti la Sydney la Sunday Telegraph...
Habari zenu wanajamvi.
Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana! Mwaka jana mwezi wa tatu nilifunga ndoa na mke wangu. Tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume. Kitu kikubwa kilichosababisha nikamuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.