benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Sio mara moja nimesikia mwanamke akisema "ni heri akose tu pesa tuishi kwa amani" au naomba Mungu aendelee hivihivi asipate kazi.
Kwa kweli sio maneno mazuri hata kidogo pia kumbuka hamna ombi utakalomuomba Mungu lisimfikie, waswaili husema maneno huumba mwanaume unapigwa na jua kila siku kutafuta riziki jua letu, mvua yetu atufanikiwi kumbe ni sababu tu mke hataki, saa nyingine unaweza fikiri umelogwa.
Kama sisi ni walevi au wachepukaji basi badala ya kutuombea shida uombe Mungu atubadilishe tuache tabia hiyo laana tunajitakia wenyewe.