Salaam ndugu wanajukwaa,
Napenda kuja kwenu kuomba tushirikiane kuweka kwa maneno mafupi tu kwamba utandawazi na mambo yoyote yanayoendana na utandawazi yamesaidia namna gani kustawisha au...
Hiki ndio kipindi chake, huruma kwa singles hata madadapoa kipindi hiki ndio kipindi cha biashara hali ya hewa inawafavor wanandoa hata kama walikuwa wanagawana vitanda kipindi hiki huahirisha...
Ungesema ni tatizo lipi la kijamii lililo la pekee zaidi siku hizi? Takribani asilimia 80 ya watu waliotoa maoni katika uchunguzi uliofanywa na taasisi ya Gallup ya nchini Marekani, huamini kwamba...
Habari kwenu,
Naamini kumvika mtu pete ya uchumba ni ishara ya kuwaambia watu kuwa binti ameshaposwa.Hivyo ni vyema kijana wa kiume nae akavishwa pete ili kudhihirisha kwamba nae ameishaposa...
Ningependa kushare nanyi hiki hasa kwa sisi ambao hatujaolewa.unapotaka kuoa au kuolewa inabidi tuwe makini sana kwenye kuchagua na tuwe tumeshaandaa mazingira ya kupokea...kuna zambi ya uzinzi...
Me ni mpenzi wa dona na vyakula vya asili sana, vicvyo kaangwa,
mabagga, masoseji na maartificial yote kwang co upendeleo sana
sifa zngne awe mwembamba na acwe mfupi
tuwacliane pm kwa...
Natafuta mdada wa kumuoa,mimi kijana wa miaka 25,elimu yangu ni ya chuo.nimeajiriwa mwaka 2015
namtafuta binti wa kumuoa awe na sifa hizi :-
1.Awe Muislamu.
2.Mcha mungu na muuumini wa kweli...
Nimehangaika sana nikimtafuta mke wa maisha yangu kwa mda mrefu. Wengi walio jitokeza hawakuwa na nia ya dhati ajabu nimekutana na mtu ambae ananjia inafaa katika maisha yangu kwa njia ambayo hata...
Mimi ninaumri wa miaka 25 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18-24 awe na sifa zifuatazo;
-Mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli
-Elimu 4-6
-Asiwe mnene sana
-Sichagui kabila wala rangi...
Habari,
Tafadhali tuelimishane katika hili. Kila nikipita hapa jukwaani naona kila mtu ni kama analalamika tu Ooh sijui huyu kasalitiwa, mara huyu analilia mpenzi wake wa zamani, mara nguvu...
-Ikiwa huku bongo bikra inatafutwa kwa tochi na wanaume wakilaumu kutokupata mabinti bikra,huko Iran kuoa binti asie na bikra ruksa kumuacha siku hiyo hiyo, hali ni atofauti huko Guam, ni marufuku...
Mama mmoja aliewalea watoto wake kwa taabu sana na wakawa wamefanikiwa kimaisha ingawa wote walikuwa hawamkumbuki, siku moja alipatwa na na tatizo akiwa shambani na kuvunjika miguu yote miwili...
Although we don't necessarily subscribe to the conventional roles of men and women, we must say that this list, as seen on AskMen, hits the nail on the head in many ways.
Trust us, there's...
Salaam nyingi kwenu wanabodi,
Mara nyingi tumeshuhudia threads kuhusu watu mbalimhali maarufu au wasio na umaarufu mkubwa hasa maisha yao kwa upande malove kuchepuka.
Mifano ipo mingi ikiwemo...
Naamini mko salama sana wanajukwaa hili pendwa.
Humu nafurahi kwani nakutana na mengi ya kufunza hasa kwa sisi tunaotazamia kuja kuwa wanandoa
Hapa nina tatizo kidogo na mchumba wangu nilifuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.