Ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenzi wangu but nashindwa kumsahau.Kunakipindi nilimpotezea kabisa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyoni but nmeshindwa.
Alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa, japokuwa inanipain sana.